Baada ya Lady Jay Dee kutangaza siku ya
kuachia album yake mpya sasa #Fahamu hiki alichokisema professa Jay
kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee
"Nitakuwa na @JideJaydee kwenye
show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu
zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA"
Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee
3
May 07, 2013
Tags
Hivi kwa nini Watu mnagombana
ReplyDeleteBig up Prof J,u a big daddy now,achana na hao watoto wasiojua mambo ya maisha,support Jide
ReplyDeleteHAYO NDIO MANENO KAKA MKUBWA
ReplyDeleteHAWA KINA LINA NA BWANAMDOGO WA SHILOLE HAWAJAKUA WAKIKUA WATAKUJAJUA WALIKUA WANAKAUPUUZI VICHWANI