Chris Walton, 47 ndiye mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani zenye urefu unaozidi futi 20, hajawahi kuzikata toka mwaka (1993).
Walton ambaye pia ni mwanamuziki alihudhuria uzinduzi wa Guinness World Records 2014 uliofanyika London, Uingereza Jumanne wiki hii.