Mahakama ya mwanzo Kawe jijini dar es salaam imetoa hati ya kumkamata miss tanzania 2006 Wema Sepetu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni dharau ya wito wa mahakama hiyo.
Chanzo cha ndani kilichoomba kuhifadhiwa ya jina kimempasha mwandishi wetu kuwa hati hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya wema kushindwa kuhudhuria kesi yake iliyopo mahakamani hapo na bila kutolewa udhuru wowote.
Aidha imeelezwa kwamba mahakama hiyo pia imetilia mashaka udhuru uliotolewa septemba 30 kwamba wema ni mgonjwa baada ya kuvuja kwa picha katika mitandao zikimuonyesha Wema akila bata Hong Kong China na mpenzi wake wa zamani mwanamuziki Diamond.
Wema alitolewa udhuru huo na kijana aliefahamika kwa jina la Martini .
Kesi inayomkabili wema katika mahakama hiyo ni ya kumtukana matusi ya nguoni pamoja na kumpiga meneja wa hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe beach jijini Dar es salaam bwana Godluck kayumbu.
Baada ya kupata taarifa hizo mwandishi wetu alimtafuta mlalamikaji wa kesi hiyo bwana Kayumbu na kumuuliza kuhusu hati iliyotolewa na mahakama ambapo alithibitisha kuwepo kwa jambo hilo.
Bwana Kayumbu alisema kuwa amepewa hati maalum ya kumkamata wema octoba 30 mwaka huu ambayo kesi hiyo ilitajwa tena mahakamani hapo.
Alisema kuwa Wema Sepetu anaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa kwani octoba 30 mwaka huu kesi hiyo ilitajwa tena mahakama ya Kawe chini ya mheshimiwa hakimu Ikanda lakini wema hakutokea na hakuna mtu yeyote aliyekuja kwaajili ya kumtolea udhuru.
Kayumbu alibainisha kuwa mshtakiwa wake wema sepetu hakuja mahakamani mara mbili mfululizo kuanzia septemba 30 2013 na kudaiwa kuwa anaumwa lakini picha zake katika mitandao zilimuonyesha akitanua hong kong china na mara ya pili kesi hiyo ilitajwa octoba 30 2013 ambapo hakutokea mtu yeyote anayemuhusu wema katika mahakama hiyo.
"Kesi ilikuwa ya kwanza kutajwa lakini nilikuwa peke yangu sasa nikaamuliwa mimi nipewe hati maalum ya kumkamata wema ambapo nilipewa na nimeshaikabidhi kituo cha polisi cha kawe kwa utekelezaji maana naona muda unazidi kwenda na kesi haiishi," alisema kayumbu.
Mwandishi wetu alipomtaarifu bwana kayumbu kuwa octoba 30 Wema Sepetu alikuwa kwenye msiba baada ya kufiwa na baba yake mzazi mzee Isaac Sepetu na kwamba siku hiyo alikuwa safarini kwenda zanzibar kwa ajili ya mazishi ya mzazi wake huyo, bwana kayumbu alisemaa kuwa suala hilo halimuhusu kwani hata yeye amefiwa na wazazi wake.
"Kama kafiwa hata mimi nimefiwa na baba na mama yangu pia, kinachotakiwa ni kutii sheria za nchi ikiwemo mahakama ,kama alifiwa kwanini asitoe udhuru? sina mazungumzo tena kinachotakiwa ni sheria ichukue mkondo wake, popote atakapopatikana wema ni lazima akamatwe," alisema Godluck.
Wema hakupatikana kwenye simu ili kuzungumzia jambo hilo.
MAHAKAMA KUMBURUZA WEMA KORTINI MARA BAADA YA KUONYESHA DHARAU.
16
November 04, 2013
Tags
huyu nae msenge hayo matusi yamemdhuru ama kumchubua anatafuta umarufu na kulipwa kusamehana tu hawa manager wa hotel wanajiona hao ndio wamiliki wapumbavu kweli
ReplyDeletewewe admin umepewa euro ngapi kumpigia petrida promo ya bloga yake unanikela na hili tangazo lako on my sceen
ReplyDeleteNjaa ya bongo uijui?
Deletenaona kaoa majukumu yanamuelemea ana ona auze promo lol
Deletehivi we mdau hapo juu mada ni wema hapa petrida katoka wapi wabongo kazi yenu kufuatilia maisha ya watu kuma wewe na wivu umekujaa kajinyonge na mavuzi yako team wema
DeleteSikazi meneja alikuwa anataka kumla uroda,wema akakitetea Kwa kumpiga,meneja mzima unapigwa na demu,sengeeee kweli.
ReplyDeleteBwege wewe...utakufa na njaa,sema bac ni sh ngapi,madam akulipe, km ulishafiwa na wazazi that means unajua uchungu wa kuondokewa na wazazi,maskini usie na bahati...
ReplyDeleteHivi mahakama za bongo hazinaga kazi eeh!? Sasa mtu kafiwa na udhuru katoa, mlitaka afanyeje sasa aje kuwatikisia makalio ama? Hovyoo
ReplyDeleteAcha uongo....udhuru gani katoa?......acheni mahama ifanye kazi yake.
DeleteHakutoa udhuru wowote ndio maana wametoa arrest warrant......acha kujipendekeza.kwanza haukuwepo mahakamani.use ur brain nt ur balls
DeleteKafiwa na baba yake! Mahakama bongo!? Rushwa inawanuka, warrant wa nini siwanajuwa anapo ishi wakambebe basi! I use my brain mumu....mnd ur on business! Wewe ulikuwepo mahakamani!? Chefuuuuuu
DeleteAcha ujinga...mtu abebwi kama mbwa.kunataratibu zake.rushwa ni issue nyingine.shule niyamsingi we mdau.huelewi chochote.kuwepo au kutokuwepo sio issue.jifunze then utajua namaanisha nini!
DeleteHahaaa eti mtu habebwi hivyo, tayari kuna warranty si tayari wanahaki ya kumchukuwa popote alipo ama??? Wewe ndio kizibo kabisaaa...wanajywa anapo ishi na warrant wanayo siwakamchukuweeee! Wewe ndio anatakiwa urudi shule mumu wahed
DeleteUyo jaji atakua ni ndugu yake peny ndomana
ReplyDeleteWema meneja alikufanya nini?mpaka na vibao umlambishe?
ReplyDeleteWewe mdau unaekerwa na tangazo la blog ya Petrida ni shoga bandia sababu unajifanya rafiki yake huku roho inakuuma, utaishia hivyo hivyo huyo petrida sasa hivi humpati ng'ooooo chezeya kumiliki timu ya mpira ulaya wewe. Mumuwache miaka 8000000.
ReplyDelete