KAMPUNI YA MWANADADA WEMA SEPETU KUTOKA BONGOMOVIE YAINGIA MADOA.!!! GARI LAKE LAGEUKA NYUMBA YA UZINZI

Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari yake kama gest ya kumalizia haja zake.

Website hii inakupa mchongo mzima Habari za uhakika zilizotua mezani kwenye meza yetu ya habari zilisema kuwa Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake"

 Kwa kweli Wema Sepetu alikuwa
anampenda sana Chid kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahali "

 Kilisema chanzo hicho ambacho ni ndugu na Wema aidha habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa hizo aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali"

 Unajuwa Wema ana mashabiki sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari basi wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao"

 Alisema dada huyo Aidha baada ya taarifa hizo tulivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi habari hii inaruka hewani:
Source:XDEEJAYZ

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama wema hakupatikana uhakika wa habari hizi mmezitoa wapi acheni uzushi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big up Wema wewe ni kiongozi mzuri huo ni mfano wa kuigwa kama kiongozi ukiona watu wako wanafanya matendo yasiyoendana na jamii unachukua hatua kali sio kufichana kama wanavyofanya na mheshimiwa kapuya Wema endelea na uongozi huo utafika mbali sana

      Delete
  2. Kwl huo ni udaku uhakika wa kitu amna alafu mna post hizo habari bila source yake sasa wasomaji hapo tunaelewa nn hapo??

    ReplyDelete
  3. I wonder! Prove ur news friend

    ReplyDelete
  4. Huyu wema anashindwa kuwa na watu wanaojielewa yupo na cheap people,low class,yaan waswahili sana nashangaa company yake sana sana ndiyo maana na yeye anaonekana mswahili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu jamaa anaongea kama mavi yamemganda matakoni.Sasa Wema ni mswahili we ulitaka awaajiri wazungu? Acha ufala we Utaifa kwanza

      Delete
    2. Bwegw huyu we ulitaka awaajiri wachina kwani we umesikia Wema anatengeneza madaraja?

      Delete
    3. Hahahahhahahhahahhha nimeipenda hii hehee hilo nalo neno

      Delete
    4. Kwenda huko we sema unajifanya msomi kwa hiyo unataka wema akuajiri.Wema be careful huyu huyu atakuja ku appy kazi kwako Mungu akusaidie umtambue huyu jobless idiot anayekuona mswahili.We are praying for you to get another good director

      Delete
  5. jamani acheni kugombana hizi habari zenyewe hazina uhakika coz wahusika hawapatikani wao wamezitoa wapi huu ndo udaku kwelikweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad