Probably wala wasingekutana. Lakini kumbuka ni kwamba kuna watu wanapenda kuwa na watu wenye mafanikio na msimamo. Huo ndio msimomo wao. Imetokea Mengi anamafanikio makubwa zaidi. Mimi sitaoa mwanamke asiyekua na mwelekeo wa mafanikio. U only live once. Siku jema
Asante kwa ulewa wako. Nafikiri wengi wetu tunapenda na kufuta mafanikio na si uelewa! Good luck katika safari ya mke mwelekeo na mafanikio. Your right YOLO
Hakuna mapenzi yaliyopangiwa umri! Kipenda roho hula nyama mbichi jamani! Bila shaka huyu mnaomwita mzee Mengi alimuona mtoto kwenye umaarufu wake akampenda akamuimbisha mtoto kakubali. Akapewa mapenzi akaridhia akaamua kuzaa naye kosa liko wapi? We unayemshauri Mengi akawapime DNA watoto twambie kama umemshuhudia Jackie akiwa na mwanaume yupi, lini na wapi. Tuache mizengwe kwa watu waliofanikiwa kinachotakiwa ni kuwapongeza na sisi tupigane kufikia mafanikio
Kwavile wewe unapenda pesa/ au unadate na mwanamke anaependa pesa unahisi kila mtu ni hivyo tuuu....Akidate na maskini mngesema kapenda kweli au kapenda njaa? ukiona mtu anaropoka kama wewe hivyo ujue umekata tamaa ya maisha. yani mtu asidate na mtu mwenye hela tiyari kapenda pesa....jikubali
Wala sio haibu. Mapenzi sio ngono tu, nimatunzo, kuelewana,uaminifu, kutakiana kheri. Sasa ibategemea wewe lipi ndilo lenyo muongozo zaidi. Sasa kama ni ngono na rika lako then mengi atakuwa afai.
Na manaume yalivyokuwa mbumbumbu yanajua dhahiri Fulani kanipendea pesa lakini hayaoni.hakuna penzi hapo demu akisikia nyege anakwenda kwa YaHAya kumtoa nyenge zake,asalaleeeeeeeeeeee
Watu wanapenda kuhukumu wenzao, nani sasa hv asiyeipenda pesa? Nani aliye ndani ya moyo wa J. Ntuyabaliwe akajua kuwankampendea Mengi pesa? Acheni kuhukumu ili msije mkahukumiwa kwa maneno ya vinywa vyenu na fikra zenu. Hongera M & J
Jamani Klyn ni Muha-mtu wa Kigoma sio Muhaya. Watoto wazuri, Mungu akukuzie mwaya.
Acheni majungu nyie mbwiga...mnatamani Fursa ya mwenzenu loooo...MTAJIBEBA na ROHO za kwanini!mmetakiwa kucoment kwa watoto nyie mwaingilia uhusiano wa Mengi na Klyn UNAWAHUUUUUUU.....kama kafata pesa au mapenzi ya kweli si yeye
Mbona Madiba alichukua motto mdogo (Graca) akaweka ndani watu hawakusema jamani? tena mzee yule ulikuwa unajua kabisa chini hakuna kitu... mapenzi sio ngono...
chozi la mke wa mengi litawatafuta mengi na jackline, wewe mengi unafikili usinge kuwa na pesa angekutaka huyo jack, umechuma na mama wa watu leo unakuja kumdhalilisha unafikili roho aimuhumi mama watu ungejua uyo jack anakung'ong'a tu na kukuzomea , yani ungeona iyo sura yako mengi
Mnajua peni za spedo?ndio biashara oliyofungua neema,mama Mengi alikuwa anajituma,bless you mama,Leo kina Jackie wanakula kiulainiiiiii,ningekuwa mama Mengi (mercy)ningetumbukiza mtu jiti la mkundu.nasikia mama Mengi anaona aibu kweli.Jackie ni golddigger
Ndoa ya mama Mengi na mumewe ni ya kanisani,Leo mzee Mengi akidondoka mama Mengi atatafutwa na sio wewe Kama unaakili chuna buzi wakati liko hai,maviwanda yote andika Jina la Watoto unaodai ni Wa Mzee machache.
plastic surgery ya wapi tena..du hi dunia ina mengi.ila huyu binti kama ana akili afanye mambo ya maana sasa hivi maana any thing can hapen any time.kama aliachwa mke wa kanisani na wa ujanani sembuse yeye
Uwiiiiiiii!!! Nimepata jibu!! Kumbe walipandikizwa mmmm!!!! Angekuwa mwanamke aliekamilika Kama sisi Si angepata kwa kawaida tuuuu!!! Jamani Mungu anachapa weeee subiri!!! Kiruuuuuuuuu!!! YESU iruwa!!!
Kwikwiiiiiiiiiiiii nimechekaaaaa wamepandikizwa?sasa jibu la swali langu Nimepata kumbe Yale maneno.... Yaliyokuwa yanazungumzwa na bin Adam ni kweli?mmmmh ngoja niishie hapo.
Kwahiyo huyu baba hawezi kumpanda Mwanamke mpaka wapandikize mayai?nielewesheni,Jackie Kama hutaki kujadiliwa umu usiweke mapicha yako na babu wako kwenye mablogu dear.
jamani aibu kuzaa na mume wa mtu ?siri anaijua mwanaume anajua kapata nini huko na ingekuwa hampendi asingeweka weka wazi mnatopoka mikundu nyie yenu mmeyaweza wengine humu ndoa zimewashinda waume wameshatafuta vya nje mnatakiwa kujifunza sio kuongea upuuzi hapa wacha wale maisha watoto wazuri Mungu awajalie mema
mmmmh kuna anayetaka shida hapa? mwacheni Amorette ale raha zake.
eeeeeh hamuoni babu kawa kijana now!! ponda raha mdogo wangu!! hakuna age ilowekwa katika sheria muhimu huko under 18 basiii. kwanza wanawake hapo ndiyo poa. ukiolewa na kijana mwenzio atakuacha barabarani wewe ushaanza kuzeheka yeye anaanza ujana!!
Nothing wrong with her. Ye ni binadamu na hata Mengi ni binadamu pia. Mr. Mengi nae ana moyo anahitaji upendo, anahitaji mapenzi kilicho waunganisha sio miili yao bali nfsi na roho zao. Tuwaache maana wamefanya maamuzi yao kwa sababu zao na furaha zao kila mtu ana utashi wake maadamu hakuna aliyetukanwa wala hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa waacheni na maisha yao. Furaha ni zaidi ya kila kitu dunia hii so waacheni wafurahie furaha yao
gold digga wa maksimam, fedha kweli balaa
ReplyDeleteGold digger at her best.Hivi Mie Mbona siwezi kuwa na Mzee kwa ajili ya pesa .pesa hizi
DeleteUtakufa masikini kwa kusubiri kijana mwenzako..
DeleteHebu nika bebe box .Babu MZEE sana Huyu akili.Kuna u gold digger mwingine way too much
DeleteHivi huyu babu angekuwa hana pesa uyu dada angemkubali!? Pesa ni sabuni ya roho jamni
ReplyDeleteProbably wala wasingekutana. Lakini kumbuka ni kwamba kuna watu wanapenda kuwa na watu wenye mafanikio na msimamo. Huo ndio msimomo wao. Imetokea Mengi anamafanikio makubwa zaidi. Mimi sitaoa mwanamke asiyekua na mwelekeo wa mafanikio. U only live once. Siku jema
DeleteAsante kwa ulewa wako. Nafikiri wengi wetu tunapenda na kufuta mafanikio na si uelewa! Good luck katika safari ya mke mwelekeo na mafanikio. Your right YOLO
DeletePesa kwa sasa akija kufa madeni yalipwe kwanza atabakia chaliiii.Mengi Ana madeni haswaaa
DeleteWe! Kuma na li-roho lako la kutu unadhani kama ww?
DeleteUnadhani ni sawa?watoto wako wapewe maswali ?
ReplyDeleteMmmmmh so mwaaaa
ReplyDeleteso cute jaman, hongera sana Mrs Mengi.
ReplyDeletehivi huyu baba hanaga mke??
ReplyDeleteMkewe mercy separated.She own half of IPP media
DeleteAkifa mengi ndio utajua mercy mama Abraham ni nani.Huyu babu anawaza future ya kampuni na WAFANYa kazi wake .
DeleteHuyu klyn anacheza watoto wa mengi wakubwa zaidi Yake aombe mengi afya
DeleteUshauri wangu wa Dr Mengi hao watoto wahakikishe na DNA
ReplyDeleteUlikuwa Kwenye brain yangu
DeleteChanga la macho,hao Watoto Mmmh namashaka.
DeleteHawafanani na kaka na dada zao (Watoto wakubwa Wa Mengi)sura zao tofautiiiiii du DNA inahusika.
DeleteHakuna mapenzi yaliyopangiwa umri! Kipenda roho hula nyama mbichi jamani! Bila shaka huyu mnaomwita mzee Mengi alimuona mtoto kwenye umaarufu wake akampenda akamuimbisha mtoto kakubali. Akapewa mapenzi akaridhia akaamua kuzaa naye kosa liko wapi? We unayemshauri Mengi akawapime DNA watoto twambie kama umemshuhudia Jackie akiwa na mwanaume yupi, lini na wapi. Tuache mizengwe kwa watu waliofanikiwa kinachotakiwa ni kuwapongeza na sisi tupigane kufikia mafanikio
ReplyDeleteKweli mdau, huyo ana roho ya kwa nn
Deletemtoto kapenda pesa hakuna mapenz hapo tunadanganyana tu
ReplyDeleteKwavile wewe unapenda pesa/ au unadate na mwanamke anaependa pesa unahisi kila mtu ni hivyo tuuu....Akidate na maskini mngesema kapenda kweli au kapenda njaa? ukiona mtu anaropoka kama wewe hivyo ujue umekata tamaa ya maisha. yani mtu asidate na mtu mwenye hela tiyari kapenda pesa....jikubali
Deletentokeee bhana wee angetokewa na mzee SMALL ngekubali kitu cha ukwel PESA SABUNI YA ROHO hapa n maisha bora tu chezea
DeleteHaya tafuta muokota makopo au mwenye nyumba ya nyasi u date naye..nadhani utafurahia sana mapenzi ya dhati
DeleteAIBU
ReplyDeleteWala sio haibu. Mapenzi sio ngono tu, nimatunzo, kuelewana,uaminifu, kutakiana kheri. Sasa ibategemea wewe lipi ndilo lenyo muongozo zaidi. Sasa kama ni ngono na rika lako then mengi atakuwa afai.
Deletenaona wanawake wapenda wanaume wenye pesa mnamtetea sana,domo kbla hayawa staa hakuna mwanamke aliekuwa anamtaman ila sku hz anacharaza mamiss tuuuuu,mamae zenu
DeleteNa manaume yalivyokuwa mbumbumbu yanajua dhahiri Fulani kanipendea pesa lakini hayaoni.hakuna penzi hapo demu akisikia nyege anakwenda kwa YaHAya kumtoa nyenge zake,asalaleeeeeeeeeeee
DeleteUmri cyo kitu kwenye mapenzi
ReplyDeletenyokoooooooooo,mbona mnavpapatikia vibabu vyenye pesa tu mbona vibabu visivyo na pesa hamvitaki nyoko yako
DeleteWatu wanapenda kuhukumu wenzao, nani sasa hv asiyeipenda pesa? Nani aliye ndani ya moyo wa J. Ntuyabaliwe akajua kuwankampendea Mengi pesa? Acheni kuhukumu ili msije mkahukumiwa kwa maneno ya vinywa vyenu na fikra zenu. Hongera M & J
ReplyDeleteEti mzee! Yaani vitu vizuri mle ninyi tu, mmesikia wapi kuwa wazee nao hawapendi kula vitamu? acheni hizo bannah
ReplyDeleteHuyu dada nasikia alishawahi kuolewa na mzungu iko vp?
ReplyDeletealitafuta mzungu miaka nenda akupata...ndo akampata mengi.
Deletewa2 wanajua ku2mia fulsa
ReplyDeleteMwanaume mbaya Ni asie na hela
ReplyDeleteHuu ni ukweli
DeleteNina lishemeji langu bayaaaa jeusiiiii lakini linahela basi mademu wanajipanga kwa foleni,mbaya ni asiye na mkwanja.
DeleteAchen wivu dada kapata wake katulia mlitaka aendelee kuhangaika na vijana tena mseme hajatulia
ReplyDelete.Watoto wazur.....ila ngoja mzee afe utajua wachagga wakoje
ReplyDeletemhhh nao wachaga watajua Wahaya wakoje! chezea banyamlenge weyeeee
DeleteKazi kwelikweli pesa maua
Deletekamata fursa twenzetu
ReplyDeletehehehehehe mbona mzee small duh hahaha
ReplyDeleteJaman watoto wazuri hao...mpaka nimewataman. Hongera mamii...
ReplyDeleteUmri namba tu havihucan na mapenz
ReplyDeleteMmmh awajanyonya lkn wana afya!!!
ReplyDeleteHajawanyonyesha Kabisaaaa ,ni maziwa ya kopo kwa kwenda mbele,Wana afya mashallah.
DeleteJamani Klyn ni Muha-mtu wa Kigoma sio Muhaya.
ReplyDeleteWatoto wazuri, Mungu akukuzie mwaya.
Acheni majungu nyie mbwiga...mnatamani Fursa ya mwenzenu loooo...MTAJIBEBA na ROHO za kwanini!mmetakiwa kucoment kwa watoto nyie mwaingilia uhusiano wa Mengi na Klyn UNAWAHUUUUUUU.....kama kafata pesa au mapenzi ya kweli si yeye
umri ni namba tu.wanapendana hawa na wametulia.watoto wazuri sana
ReplyDeletekaolewe na mzee small basi bumbavu zako
DeleteMbona Madiba alichukua motto mdogo (Graca) akaweka ndani watu hawakusema jamani? tena mzee yule ulikuwa unajua kabisa chini hakuna kitu...
ReplyDeletemapenzi sio ngono...
Sio kwa mzee Mengi ?
DeleteKinje ana hela,mzungu Wa msumbiji hela,mzee Wa ipp ndo usiseme,hela can speak
ReplyDeleteusenge tu
ReplyDeletemmmmh! minapita tu,macho hayana pazia.
ReplyDeletechozi la mke wa mengi litawatafuta mengi na jackline, wewe mengi unafikili usinge kuwa na pesa angekutaka huyo jack, umechuma na mama wa watu leo unakuja kumdhalilisha unafikili roho aimuhumi mama watu ungejua uyo jack anakung'ong'a tu na kukuzomea , yani ungeona iyo sura yako mengi
ReplyDeleteMnajua peni za spedo?ndio biashara oliyofungua neema,mama Mengi alikuwa anajituma,bless you mama,Leo kina Jackie wanakula kiulainiiiiii,ningekuwa mama Mengi (mercy)ningetumbukiza mtu jiti la mkundu.nasikia mama Mengi anaona aibu kweli.Jackie ni golddigger
DeleteNdoa ya mama Mengi na mumewe ni ya kanisani,Leo mzee Mengi akidondoka mama Mengi atatafutwa na sio wewe Kama unaakili chuna buzi wakati liko hai,maviwanda yote andika Jina la Watoto unaodai ni Wa Mzee machache.
ReplyDeleteKwanini Watoto hujawanyonyesha?Kama plastic surgery umeifanya juzi tu usikesingizia ni plastic surgery
ReplyDeleteplastic surgery ya wapi tena..du hi dunia ina mengi.ila huyu binti kama ana akili afanye mambo ya maana sasa hivi maana any thing can hapen any time.kama aliachwa mke wa kanisani na wa ujanani sembuse yeye
ReplyDeleteJack Acha kumchoresha kaka yetu kwenye mitandao!!! Pumbavu jiheshimu kite wewe!!! Umeiba Bado unajinadi!!! Koma kbs! Watoto wenyewe ajawanyonyosha!!!
ReplyDeletekuna tatizo gani hakuwanyonyesha.au anaogopa kuzeeka
ReplyDeleteHEEEE MSILOLIJUA LITAWASUMBUA, WATOTO NI WAMENGI ++ HIHIII WAMEPANDIKIZWA UFARANSAAA MTAKESHA HUMUUUU...
ReplyDeleteJackie!mbona unaanza kufichua siri za ndani?kupandikiza mayai inahu?si ujinyamazie tu,Kwahiyo ndio kusema babu kageuka Michael Jackson ?asalale
DeleteUwiiiiiiii!!! Nimepata jibu!! Kumbe walipandikizwa mmmm!!!! Angekuwa mwanamke aliekamilika Kama sisi Si angepata kwa kawaida tuuuu!!! Jamani Mungu anachapa weeee subiri!!! Kiruuuuuuuuu!!! YESU iruwa!!!
ReplyDeleteKwikwiiiiiiiiiiiii nimechekaaaaa wamepandikizwa?sasa jibu la swali langu Nimepata kumbe Yale maneno.... Yaliyokuwa yanazungumzwa na bin Adam ni kweli?mmmmh ngoja niishie hapo.
DeleteWalibatizwa kwenye kanisa la kisereni Machame kwa Aibu zao!!! Waliona Aibu kubatiza azania! Kumbe Wa kupandikizwa????? Uwi!
ReplyDeleteKwahiyo huyu baba hawezi kumpanda Mwanamke mpaka wapandikize mayai?nielewesheni,Jackie Kama hutaki kujadiliwa umu usiweke mapicha yako na babu wako kwenye mablogu dear.
Deleteumbea bhana, tabu ndo zinasumbua.
ReplyDeletejamani aibu kuzaa na mume wa mtu ?siri anaijua mwanaume anajua kapata nini huko na ingekuwa hampendi asingeweka weka wazi mnatopoka mikundu nyie yenu mmeyaweza wengine humu ndoa zimewashinda waume wameshatafuta vya nje mnatakiwa kujifunza sio kuongea upuuzi hapa wacha wale maisha watoto wazuri Mungu awajalie mema
ReplyDeleteHakuna asiependa maisha mazuri muacheni Jackie ajilie vyake.
ReplyDeletendo kam'goa madam rita dunia hii kweli mzunguko
Deleteeasy
ReplyDeletemmmmh kuna anayetaka shida hapa?
ReplyDeletemwacheni Amorette ale raha zake.
eeeeeh hamuoni babu kawa kijana now!!
ponda raha mdogo wangu!! hakuna age ilowekwa katika sheria muhimu huko under 18 basiii.
kwanza wanawake hapo ndiyo poa. ukiolewa na kijana mwenzio atakuacha barabarani wewe ushaanza kuzeheka yeye anaanza ujana!!
Nothing wrong with her. Ye ni binadamu na hata Mengi ni binadamu pia. Mr. Mengi nae ana moyo anahitaji upendo, anahitaji mapenzi kilicho waunganisha sio miili yao bali nfsi na roho zao. Tuwaache maana wamefanya maamuzi yao kwa sababu zao na furaha zao kila mtu ana utashi wake maadamu hakuna aliyetukanwa wala hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa waacheni na maisha yao. Furaha ni zaidi ya kila kitu dunia hii so waacheni wafurahie furaha yao
ReplyDeletekwa raha zao
ReplyDelete