POSTS ZA WASTARA JUMA INSTAGRAM ZAWAACHA WATU WAKIJIULIZA KUNANI...

Posts hizi 12 hapa chini zina maana gani ? Ni shukrani tu ama ? embu zisome ..zote ameandika mwigizaji Wastara...aliyekuwa mke wa Marehemu Sajuki












Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sielewi wala sijaelewa

    ReplyDelete
  2. Anajua mwenyewe.

    ReplyDelete
  3. kuna kitu kakifanya kinamuumiza huyooo! ndo mana mungu mungu nyingi,mfyuu kufa kisajiri ,sote tutakufa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio vizuri nana mpe moyo mwenzio akikata tamaa he

      Delete
  4. Nisha msagaji mkubwaaaa

    ReplyDelete
  5. jaman huyu Dada amepoteza matumaini anaweza kujiua wakat wowote

    ReplyDelete
  6. Malaya mkubwa hana lolote

    ReplyDelete
  7. Huyu dada kama kuna mtu mwenye mapenzi ya kiukweli ajitokeze maana nyege zinamsumbua, anaweza kujitoa roho kwa nyege zilivyoomjaa

    ReplyDelete
  8. anatakiwa afanye ibada na kutubia. ajaribu kuishi maisha ya kawaida na akubaliane na hali halisi.

    ReplyDelete
  9. jaman...yeye sio wa kwanza kufiwa na mume!!kama vipi apige kimya tushaanza kumchoka mxuuu

    ReplyDelete
  10. Huyu anatafuta attention kuna watu wanapenda sana kuonewa huruma watu wamefiwa na failia nzima na wanasimama iwe yeye kama hataki kuishi mwacheni afe maana anajidai kama vile watu wamuone anataka kujiuwa wampe shavu la muv....... samahani lakini

    ReplyDelete
  11. Kamgeuza Sajuki mtaji.

    ReplyDelete
  12. mpeni kitombo walllah hatatulia ni nyege tu hizo, mi nilikuwa namuona wa maana kumbe alijificha kwa mgongo wa chura, shwain kabisa.

    ReplyDelete
  13. Pole mwaya Mungu akuvushe ktk yote. Ni kweli maisha ya mwanadamu mafupi. Mume anauma ila usikufuru ndg yangu.

    ReplyDelete
  14. mungu amzimdishie ni wachache wanafanya hivyo huwezi jua

    ReplyDelete
  15. mi namshauri amuone mwana saikologia ili amsaidia kumuweka sawa. maana kufiwa na mume yeye sio wa kwanza kuna watu wanafiwa na mume na wanaachiwa watoto wakusoma na wadogo ili wanakaa sawa wanajipanga na kuanza maisha mapya na baadae wanolewa tena. sasa hii tabia ya wastara inaelekea kukasirisha kila siku ataleta jambo la huzuni tunajua kufiwa na mtu wa karibu kunachanganya ila acha hii tabia. hata mimi nilikuona ni mstaarabu sana ila sasa unaanza kunitia mashaka. kifo hakina taarifa ikifika muda utakufa tu ila kila unataka kukata tamaa fikira watoto wako, muenzi mumeo kwa kuwatunza vizuri watoto wako acha skendo za kila siku magezini. hebu tulia sasa jipange acha yote piga kazi huku macho yako yote na akili zako zote ziwe kwa wanao kwani wewe ndiye pekee tegemeo lao. pole

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad