Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Vincent Nyerere.
Akizungumza na Kipindi cha Dakika 45 kilichorushwa hewani Jumatatu usiku na Runinga ya ITV, Nyerere alisema baada ya uchunguzi kufanyika ilibainika kuwa yale madawa kwa nchini Afrika Kusini si ya kulevya lakini kwa Tanzania ni ya kulevya.Alisema kutokana na kubainika kwamba yalitokea nchini, baadhi ya wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar walitimuliwa kazi, akasema basi ilikuwa lazima Masogange baada ya kutua Bongo akamatwe.
Paparazi wetu, juzi alifanya jitihada za kuzungumza na Waziri wa Uchukuzi, Mheshimiwa Harrison Mwakyembe lakini simu yake ilikuwa ikiita tu.
Kwa upande wake, Kamanda wa Kikosi Maalum cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Afande Godfrey Nzowa alipopigiwa simu alisema kule Afrika Kusini Masogange alipatikana na hatia na kuhumumiwa, kwa hiyo hakuna sheria ya kumkamata tena hapa nchini.
“Kule alihukumiwa kwenda jela au kulipa faini, ina maana alipatikana na hatia, akalipa faini na kuachiwa, sasa kwa nini tumkamate huku?” alihoji Nzowa.
Simu ya Masogenge juzi ilikuwa ikiita mara kadhaa bila kupokelewa.
Julai 5, mwaka jana, Masogange na Melisa Edward walikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg na madawa ya kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8.
Kesi yao iliendeshwa na Mahakama Kuu ya Gauteng iliyopo Kempton Park nchini humo ambapo Masogange alikutwa na hatia na kuhukumiwa kwenda jela miezi 32 au faini ya randi 30,000 (shilingi milioni 4.8). Masogange alilipa huku mwenzake, Melisa akiachiwa huru baada ya kuonekana hakuwa na hatia.
GPL
kila nchi inasheria zake,yeye alihukumiwa kwa she ria ya sauz,akamatwe awekwe ndani
ReplyDeletehii kali yani madawa ya kulevya tanzania lkn southafrica inakuwa dawa eee, halafu mnawashika mnawaachia mnategemea nn madawa kamwe hayawezi kuisha na mateja watazidi kuongezeka, sioni sabu ya nyinyi kutangaza mtu kakamatwa then mnamuachia bora muhalalishe tu kama south africa na kuita ni dawa za kutibu binadamu na si madawa ya kulevya
ReplyDeletewameache tu...atajuhukumu mwenyewe na kuma yake...wasimuhukumu siku zote ndo wamuhukumu leo...alafu ilo demu baya kweli kwa china mitako na miguu.shepu baya..!!!sura ndo nzuri kidogo
ReplyDeletemadawa ya kulevya yana faida zake kwa mwanadamu pia. inategemea na jinsi yalivyoandaliwa.
ReplyDeletedawa ya kulevya kuma yake huyohuyo masogange..ndo dawa.
DeleteWewe nana huna akili hata moja umejaa ushuzi tu sijui unalalagwa saangap na unakazi
Deletekama Coca Cola ina madawa ya kulevya vile vile, ndio maana unajisikia kuburudiiiika ukiinywa, ila imeandaliwa tofauti ukilinganisha na sembe dona.
DeleteNot fr jamani , alishaga hukumiwa alipo kamatiwa ! Huyo waziri nae anashindwa kuwakamata ma big fish tena a nawajuwa..anataka kumuonea Agnes. Au alimtongoza akamkata? Maana ndio tabia ya wakubwa wakikutaka ukiwakata wanakudidimiza!!
ReplyDeleteJamani, just use common sense, huyu waziri, alikuwa wapi? Tangia hiyo scendo ivume? Anaibuka leo? Kuna kitu anataka sasa kanyimwa!! Nyie eleweni
ReplyDeletewe vicent hujui sheria kafie mbele. mtoto mzuri unataka akaliwe na mabwana jela
ReplyDeleteye anadhani masogange ndo pusha, mtoto wa watu hajui hata kumeza kete.
ReplyDeletehuyu waziri ngoja aendelee kumshika mbuzi sharubu,aone. tized kuna gun, asije akaokotwa barabarani, wakina chifupa si tumewasahau jamani?