UKAWA MOTO MKALI RATIBA YA MIKUTANO NA MAANDAMANO HII HAPA

Wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4 kama ifuatavyo; dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na pwani;maalim seif shariff hamad na mabere marando watakua mbeya;kabwe zitto na chiku abwao kilimanjaro,tindu lissu na lipumba mwanza,kagera.simiyu;pemba na unguja mbowe,anna komu na habibu mnyaa;tabora- kigoma;jussa na wenje;dar sugu na lema;tanga mdee na machemli;shinyanga;mnyika,shib uda na nassari;singida v-nyerere na opolukwa; taarifa zaidi zitatolewa kadri zitakavyo patikana kupitia njia zote

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Arusha Mwigulu na Nape

    ReplyDelete
    Replies
    1. ole wao waje Arusha kubwabwaja,labda waje kufilana kama kawaida yao.

      Delete
  2. Lukuvi na asha bakari kusini Pemba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lukuvi wapemba walivyo na hasira nae lazima arud na mimba!

      Delete
    2. Mdau 2:09
      Ha ha haaaa haaaaaa, aisee!!!

      Delete
  3. Wassira manzese

    ReplyDelete
  4. niache kwenda kujitafutia ela ya kula mie niende nikaandamane ? alafu naishia kupigwa virungu na mabomu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wamekuomba?si ukae kimya kuma kibuyu?!

      Delete
    2. kwani wewe unayetukana wenzio ukienda kuandamana ndio utapata kitu gani zaidi ya kutandikwa na ffu

      Delete
  5. Cjui linapata faida gani kutukana,limburulazzzzz

    ReplyDelete
  6. Ndiyo Zao matusi hawa jamaa miaka 100 watatawaliwa.

    ReplyDelete
  7. Kwel kipata chenyewe cha shida, uache kutafuta pesa ukaandamane polisi wakupige virungu na mabom kisa wakinambowe wanataka vunja muungano ila kupitia wewe na kwa kisingizio cha katiba katiba ipi hy wakati ndio wameanza sura mbil tu. kunavitu kama rasilimali za taifa, kama madin gesi bado awajavijadili ambavyo vitatusaidia wanannchi mojakwamoja sasa serikali tatu au mbil zinatusaidia nin sis zaid ya kutuvuruga tu.. nawaomben police tena wakiandamana wapigeni sana virungu na kuwakamata na muwafungulie masgta ya kigaidi wekula kod zetu muda wote huo baada ya kutosheka wanaleta mambo yao ya ajab tushindwe fanya shughuli zetu mtawabuluza hao mambulula wenzenu aerikal tatu ili iweje mi nilifikiria wangeshikilua maimamo wa moja wao wanataka tatu mbowe umekosea rud sgule kwanza nahis kabachelor kangeongeza uwezo wa kichwa chako UKAWA ndio nin kimesajiliwa wap na police nitashangaa sana kuruhusu genge la waun wasio julikana kuatarisha aman ya watu. Mungu ibariki Jamuhur ya Tanzania Mungu walaani wanaojiita UKAwa kwa kutuhusisha wananch nyie mtasema katiba ya wananchi wakati wananchi wamewapeleka bungen ni wachache kuliko wananchi waliowapeleka bungen chama tawala. kwa hy hch kikund ni cha wauni tu sio wananchi

    ReplyDelete
  8. Pinda alisema wapigeni tu, mlilalamika sasa mnaonge nyinyi wananchi mamburula kabisa, mkihongwa mna shida nyinyi? mko tayari ndugu zenu wafe, kweli njaa mbaya sana CCM inawakata kwa njaa zenu, na kama CUF, NCCR wameukubali ukomavu wa CHADEMA na wameungana vizuri sana maana CCM sio watu wa kuungana majambazi tu yale, hongeleni CUF na NCCR kwa kulijua hilo nawapongeza sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna ulijualo ukiandamana ndo katiba itapatikana

      Delete
  9. Yangu macho 2

    ReplyDelete
  10. Jogoo awike asiwike kutakucha tu waache wapige kelele katiba inakuja serikali tatu hakuna wakatafute nchi ya kuishi mapema

    ReplyDelete
  11. Jaman 2weke vyama pembeni haya tuangali maslahi ya nchii,wale wabunge wa bunge la katiba kweli wanauchungu na nchi? Km walikuwa wanauchungu na nchi kwanin walitaka kuengezewa posho? Pia kwanin walicha kujadi ya mcngi na kutukanana matus ya nguon kweli wanaipenda Tz?

    ReplyDelete
  12. Hao ukawa wote mabwege.

    ReplyDelete
  13. Yani hao wote apo Ni wanafk

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad