WEMA APAGAWA NA TUZO 7 ZA DIAMOND,SOMA ALICHOKISEMA BAADA YA DIAMOND KUTWAA TUZO HIZO

Kila msichana hivi sasa anandoto za kuwa kama WemaSepetu hivi sasa, kwa kuweza kujivunia mafanikio ya mpenzi wake Diamond Platnumz, baada ya kuandika historia katika Game hili la muziki wa Bongo Fleva, kwa kuchukua tuzo zote katika kila kitengo alichokuwa anawania, baada ya ishu nzima kuisha, haya ndio maneno ya Wema ya kwanza kuandika , Wema Sepetu aliandika kupitia Account yake ya instagram;


Yaani mpaka hadi kuzipanga unashindwa unaanzaje kupanga… He managed to snatch dem all…. My champion…. We hav an award for erday…. Monday to Sunday baby…. Yaaaani #tikaTika….. Im a proud girl…. Sooooo proud… Salute to U Champion… .dpuf

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ACHA MOVE IENDELEYE

    ReplyDelete
  2. YANI BURUNDI TUMEFURAHI SANA...FELICITATION DIAMOND....SISI PENDA WEMA SEPETU SANA

    ReplyDelete
  3. vjmambo 2, yatakwsha

    ReplyDelete
  4. Hongera sana diamond

    ReplyDelete
  5. Watu weweeeee wapi penny anywe sumu afeeeee ha haaaaa hampati diamond hata kwann anamaliza waganga lakini wapiiii , penzi limesha tia nangaaa...

    ReplyDelete
  6. nafanya minjik njuri hii kijana,ongesa mendo yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lugha gani hiyo?

      Delete
    2. Huyo nae mkimbizi sijui, kajifunze kiswahili huko

      Delete
  7. HAYA DIAMOND NA WEMA MMEPENDEZA SASA KUWENI NA AKILI SIO MUANZE MA SKANDALI YENU KAMA WENDA WAZIMU UKWELI MNAPENDANA MWENYE WIVU AJINYONGE. MAFANIKIO YENU NI NYOTA ZENU ZILIZOKUBALIANA NDIO MAANA MNA MAFANIKIO, BIG UP, BIG UP.

    ReplyDelete
  8. Hiz tuzo za magushi tu hawa Kili wanazingua. Tuzo mbele bwana hata mifumo ya kuchakata hizi tuzo ina kuwa ya kueleweka. Ivi kweli kwa akili ya kawaida Bele 9 na Ben Paul class R&B singer wakukosa tuzo kweli kama haki inatendeka? Naona ha mwaka huu wameona aibu imewajaa na kumpa Fid Q. Miaka yote walikuwa hawavioni hivi vipaji? Wakajipange.

    ReplyDelete
  9. wajipange kill au ujipange ww mbulula kwa sababu hapo mashabiki ndiyo wapiga kura km haujampigia unaempenda unadhan atashinda kwa njia ya roho mtakatifu.

    ReplyDelete
  10. Maadui ndio zao za kuzusha.diamond tunamkubali

    ReplyDelete
  11. Anastahili Kupewa

    ReplyDelete
  12. Diamond broo ww ni noma sana nakukubali sana yani kiukweli mnaendana sana wewe na sister wema sepetu mia 100 broo.

    ReplyDelete
  13. ni nomaaaa! 2nasubiri kuzka watu tu hapa team penny mpo wap mpaka mfe kwa sabb ya wivu wenu pumbf!!!

    ReplyDelete
  14. Hongera Diamond

    ReplyDelete
  15. noma xana yn nmefrah sana

    ReplyDelete
  16. Wazushi ndio zao kwan wamekosa la kusema diamond forever wanywe sumu

    ReplyDelete
  17. Watu bwana kura hawapigi kuwachagua wanaowataka lakini midomo mirefu.Oh Ben Pal Bel 9 kura umepiga? Cingratulations to Diamond!

    ReplyDelete
  18. hongereni wote mliopata tuzo il a mnatakiwa mjiulize mini maana ya tuzo. tuzo unapewa ili jamii Na kizazi chako uje kuwaonyesha kutokana Na kitu ulichofanya. salsa hizi zetu zinafaida gain iwapo hats miaka miwili hazifikishi kutu tupu. nani atakaa Na mabati ta kutu ndani? Kili mnashindwa kutengeneza hats za silver zikapendeza au mnajua kula heal tu!! Na nyie wasanii ndio wajinga so muwasusie kwani lazima. diamond kazi kwako kwa kuwayaweka mabati hayo Na yasivyo Na thamani ndio maana mpaka we a kashindwa kuyapanga anasema. unafikili zingrkuwa za thamani yake ingekuwaje? poleni kwa kubebeshwa mibati

    ReplyDelete
  19. Donge tu limekujaa, mabati we ushawahi kuyapata, umeona mabat tu na huo mkwanja wanaoupata mbona ausemi?

    ReplyDelete
  20. mi tz mingi ni mi dvision( 0 ). . humu yame comment. habari. za. wemalaya na domokubwa tuu habari nyengine ht hayasomi. admin nae. kawajazia wemavi nadomo k.

    ReplyDelete
  21. TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAFANIKIO YA MTU NA SIO KUONGEA MANENO YA CHUKI YASIYO NA FAIDA MAISHANI MWAKO

    ReplyDelete
  22. na watuache tulale

    ReplyDelete
  23. Wamekusanya ma scraper na kuyafungia jikoni.

    ReplyDelete
  24. Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.....wanaomchukia dai kwa ushindi na kumpenda wema watajibeba!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad