Hivi Huyu Halima Kimwana ni Nani Kwa Diamond?

Kuna watu wanashangaza kidogo,siyo kwamba tunawafuata majumbani mwao na kugundua tabia zao,kwamba wanakula sana,wachoyo,wachafu au hawapatani na majirani zao,hapana,wanayoyafanya ama kuzungumza,wanatufanya tuwatambue.Lakini tunaishia kuwajua kwa majina na matukio yao.Ukiniuliza babu Tale ni nani,fasta nitakujibu kuwa ni msaidizi wa shughuli za Diamond,Romie Jones nitakuambia ni ndugu yake Diamond,Wema Sepetu,ni usingizi wa Diamond,kwa maana ya mpenzi,lakini ukiniuliza Halima Kimwana ni nani,naweza kulipuuzia swali lako kwa maana sitambui wala kujua ni nani kwa Diamond.

Siwezi kuacha kujiuliza hivi huyu binti wa mjini  ni nani kwa Diamond?rafiki,dada,shemeji yake,mpambe au nani,Au ndiye kiunganishi chake kwa wale viumbe waliosababisha aitwe sukari ya warembo?yeye ni nani haswa hata afikie hatua ya kumchagulia Diamond mpenzi wa kuwa nae,ni nani hasa hata afikie kumaindi uwepo wa Wema kwenye himaya ya Diamond,kajina kake kamezidi kukaa on ea kwa kipindi kirefu kutokana na uwepo wake karibu na Diamond,ana nguvu sana kwa Diamond,Nilipuuzia kwa muda mrefu sana nikiamini ni mtu wake wa karibu wa kumshikia poda awapo lokesheni ya video zake,au anashikilia simu zake awapo stejini,baadae nikadhani kuwa huenda ni msaidizi wa mambo binafsi ya Diamond.Lakini kufikia hatua ya kumpangia Diamond mwanamke  wa kuwa nae,kidogo hapo nashindwa kuelewa,yeye ni nani kwa Diamond?
Wadau mnaojua uhusiano wa huyu dada hebu mtujuze,ni nani,anafanya shuhuli gani,naamini wote mliosoma gazeti hilo mna kiu ya kujua.

Source:Gazeti la KIU ya jibu toleo no 1275 la tarehe 2-5/6/2014 
Via Sintah Blog

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kinawauma nini kutaka uhusiano wao hayawahusu kama angetaka mujue wangesema.

    ReplyDelete
  2. Nakupa tano mdau wa 12:48pm....kazi yao umbea tu..mbona hawaandiki maishabyao binafsi na relations zao....Kazibkufatilia ya watu tu.Mkishajua iweje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe halima unajikomentia mwenyewe vp hakuna mtu atakaye kusapoti hapa watu wanataka kujua kwanini unamchagulia dimond mabebi

      Delete
  3. Ni kigagula no moja wa domo kaya mond halima mapengo chupi kubwa ndo ubin wake

    ReplyDelete
  4. Ndiye msiri mkubwa wa diamond kama hamjui,na ni msiri mkubwa kwelikweli,anajua mambo mengi ya Diamond,wakati madame havijui,mpo?
    maswali ya nini?sitaki sasa.

    ReplyDelete
  5. Shida yenu mnataka muambiwe alishamtomba,ili mpate ya kusema sasa ni hv ameshamtomba andikeni

    ReplyDelete
  6. Kuma tu msenge Malaya...

    ReplyDelete
  7. Bibi yake mzaa baba wa diamond

    ReplyDelete
  8. hilo kuma halima kimwana silipendi mpaka mungu anashuka dunian lione kwanza mipaja km baruti za mashimo sura ka zege lilollala....eti linamwekea pajadiamond nyoooooooooo aende na weweapi kinuka njiaa mkojoo mchafuu una typhode mama kalale ukojoe...umemloga sana madam wetu lkndiamond ndo roho yake mbwa mkubwa ttakuandaliamatarumbeta wewe sisi team wema wewe subiliutavua mchana kweupeutakeusitake utakimbia km mwenge wa kikwete weweee

    ReplyDelete
  9. Napita mie simjui hata google sijampata huyo halima mnaemsemea.naona mnampakiki tu

    ReplyDelete
  10. huyo ndo alompeleka dimondo kwa mganga mpk kafanikiwa...ndo mana domo anamkubali sn wana siri nzito...!

    ReplyDelete
  11. ee tano anonymous 4.40,na walikuta na wema huko kwa mganga
    anamroga domo,ndo maana halima hampendi wema,mpooooooooooo?

    ReplyDelete
  12. Esma na bi sandrah wamebakia wameduwa tu hata hawaelew ana nguvu hyo kuliko mama dai na esma....kupitia hyu Dada ss HV ndo naamin uchaw keel upo

    ReplyDelete
  13. mtunza mikoba ya chibu

    ReplyDelete
  14. Halima ni housegel wa domo.....af anamtamani sana domo, domo kashtuka ndo maana unaona hasemi kitu coz pia kwa vigagula keshampeleka na akitaka madem pia anamtafutia!! mwanamke mwenye sura nzito ana kazi kweli....na umri wote huwo bado ana kazi ya kujikomba ka bar medi..Mtcheeew

    ReplyDelete
  15. Acha kufatilia mambo ya kila mtu mbona mambo ya kwako huyasemi wala ya dada zako pia huyasemi huo ni umbeya kutaka kijuwa la kila mtu,anafaynya nini akula nini time gani anakwenda chooni hiyo haikuhusu kila mtu na mambo yake tuwaache WALALE acha hizo

    ReplyDelete
  16. tombaneni siku zinaesabika ushilikina wenu utajulikana Tu

    ReplyDelete
  17. Hehehe Kama wanafanya wanayoyafanya waache hizo zinaa na ushirikina jamani siwalaumu mtu baada kuandika ushirikina anaandika ushilikina hata Millard Ayo ni muandishi ila utakuta anaandika ushilikina Kama mtu mwandishi habari pitia unachoandika mara nyingi wengine sio waandishi wahabari tukikosea poa ila nyie waandishi wa habari rekebisheni maandiko.

    ReplyDelete
  18. Hehehe Kama wanafanya wanayoyafanya waache hizo zinaa na ushirikina jamani siwalaumu mtu baada kuandika ushirikina anaandika ushilikina hata Millard Ayo ni muandishi ila utakuta anaandika ushilikina Kama mtu mwandishi habari pitia unachoandika mara nyingi wengine sio waandishi wahabari tukikosea poa ila nyie waandishi wa habari rekebisheni maandiko.

    ReplyDelete
  19. Binadamu mnachunguza mambo ya kipuuzi kipuzi tu, eti ninan wake anamtombaga, mara mshika poda na simu , mara ooh house girl, yoote hayo yanakuhusu nin? Kumamae zenu mikundu ya mama zenu kuchunguza yasiyo wahusu

    ReplyDelete
  20. Mtasema yote,mtatokwa mipovu,Dangote kwa Halima hachomoi ni kama tako na chupi! Mpo wakaanga sumu?

    ReplyDelete
  21. penny fanya yako, family ya diamond achana nayo lacvo utaandikwa humu balaa

    ReplyDelete
  22. Atakua mganga wake

    ReplyDelete
  23. Embu tufanye ye2 na hao wafanye yao ina maana kila mtu afanye yake tuache Umbea kama hamna shughuli za kufanya....!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  24. Kuma tu linamuwasha huyo halima hana lolote mwanga mkubwa weeeeeeee!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad