Heshima kwenu wadau..
Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..
Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani.. anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana.
But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za tunaowafahamu..
Wadau hii mnaonaje? je kuna ukweli wowote hapo
Ndomana nchi hii kuendelea vigumu mko kwenye Mpiraa mnaacha kujadili mada za maendeleo mnajadili upuuzi huo,pole sana,
ReplyDeleteacha ujinga ww we una taka watoto wakimasikini wasipate wapenzi au
ReplyDeleteYan,hata sijaelewa nini maana yako unataka kuleta Mambo ya ubaguz wa kipato, Kama wahind? Kama nyinyi maskin basi mtakuwa maskin....
ReplyDeleteshukran n tabia ya m2 binafsi haina uhusiano na hal ya m2 kiuchumi...
ReplyDeleteUmenena.
DeleteSasa mdau nskushangaa ni nn hasa kilichokufanya uiweke hii mada!hivi unajua maana ya ubaguzi wewe?tabia ya mt inatokana na malezi na sio umaskini kama unavyodhani!jitahidi kutafuta mada za kuelimisha sio kuleta mada za kipuuzi zisizo ns mshiko!
ReplyDeletemleta mada ni mjinga sana analeta nambo ya kibaguzi nenda India uko ndiyo kun mambo km hayo baba akiwa dobi lzm nawe uwe dobi si apa bongo baba domi mm dr upo apo
ReplyDeletemada hiyo inaukweli kabisa watoto wakimaskini wengi wanawivu wakijinga muda mwingi wanawaza kulinda zaidi ya kufikiria maeneleo.wasumbufu wao na familia zao utasaidia mapaka utabaki maskini bado utaambulia lawama tu ,kutoka kwake na ndugu zake .kwanini ujitese tafuta tafuta ambaye kidogo kwako haueni ya maisha ipo!!!!!!!!!!!!!!!1
ReplyDeleteduu jaman mi kwetu maskin ila maneno uliyoongea ww mkaka yameniumiza so sisi hatufai kupendwaa na wenye uwezo!! mweeeee eti wasumbufu na familia zetu duuu
DeleteDu
ReplyDeleteMaskini akipata matako ulia mbwata, ni kweli kabisa wadada wengi wanaoolewa kutoka family duni huwa ni vigeugeu mpaka utashangaa hii inachangia ni limbukeni ya maisha wanashindwa kujizuia,
ReplyDeleteKweli, nakusapoti, japo tabia ni ya mtu binafsi, ila kwa wale waliotoka familia duni, aisee ni pasua kichwa sana... Na usiombe uyumbe katikati ya safari, hawana uvumilivu wanasahahu walikotoka..
ReplyDeleteduh mdau ni kweli mimi ilikwisha nitokea niliishi na muuza sura mmoja ambaye huwa anajifanya mjuaji ila siku alinipeleka kwao duh chokaaa basi mimi nikajitwisha zigo lile wew !baba alivyofariki zigo kubwaa ila mwisho nilichoambulia!sasa karudi mtaani eti anatafuta maisha na mtoto niliachiwa wa miezi saba!.
ReplyDeleteNa mwanaume masikini je?
ReplyDeletena mwanaume maskini je? wadada tu ndo mmeona....mbona mnakujakuja wenyewe nyie mnaosema maskini ni tabu!!!!!! shm on yu!
ReplyDeleteWake kutoka katika familia maskini ni shida
ReplyDeleteLife z how u make it!!! meen hakuna ukwel hapo ww unategemea uoe ndo mkeo akutoe kwan wasomi si wanafundishwa na wa2 km ww unashindwa kua mbunifu na creative na kuongea ujinga ndo maana hatuendelei ama kweli nimeamin msemo wa rafik yang 1
ReplyDelete