Hatimae mbunge wa Arumeru mashariki mh. Joshua Nassari na Bi. Anande Nnko wafunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja katika kanisa la Kilinga na baada ya hapo kuelekea katika viwanja vya Usa- River Academy ambako ndiko sherehe ilipofanyika.
Siku ya Jumamosi tarehe 7 Juni 2014 itakumbukwa na wawili hawa kama siku yao ya kumbu kumbu ya ndoa yao, pamoja na wageni wengi waliojitokeza, viongozi wa kiserikali pamoja na wale wa kisiasa, taasisi na dini walikuwepo kwa wingi. Tunawatakia ndoa njema na Mungu awalinde.
wamependeza hadi rahaa. Nimempenda wifi yuko natural na kiumbo chake saaafi
ReplyDeleteNasari Salute u big up sn
ReplyDeleteumejua kuchagua kaka,wifi mzuri kwelikweli.Hongera sana.
ReplyDeleteadmin kwa nini mlivumisha kuwa na uhusiano na Halima Mndee?
ReplyDeletekama hujui vitu piga kimya,hakuna aliyevumisha ni nassari mwenyewe alisema atamuoa halima kiutani
ReplyDeleteni mpuuzi huyo anaye sema "mlivumisha". aka born to suffer
ReplyDeleteAsante Nassari kwa.kutuongezea.kamanda.mpya kwenye safu ya cdm
ReplyDeleteWanafanana kama ndugu
ReplyDeletesafi saaaaana kamanda!! nakupa BIG UP!!!
ReplyDeleteNimempenda sana anande yuko so simple na mzuri kwa kweli kapendeza mnooo
ReplyDelete