Sikiliza Mume Wa Flora Mbasha Akikubali Kubaka Na Kuomba Msamaha Kwa Shemeji Yake. Sikiliza Hapa

Clip hiyo Hapo chini ya Audio Kwa sasa inazunguka Mitandaoni inasemekana ni Mume wa Flora Akiongea na Shemeji yake Ambaye Inadaiwa Kambaka hatuna huhakika nayo ila na wewe sikiliza:

"Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu kutokana na jamii inavyoichukulia ,kua ni familia yenye hofu kubwa ya Mungu,lakini jamii imesahau kua hawa ni binadamu 100% kuna kuanguka Tunaomba maoni yako unasemaje juu ya hili"

Source:Jipange Media

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Udaku mnatisha sasa akimpeleka mahakamani tayari washapata ushahidi

    ReplyDelete
  2. Udaku mmemkomalia mbasha,hamkupewa rushwa,kaogopa dhambi 2 kutoa rushwa na kubaka.mwee.

    ReplyDelete
  3. wewe unasemaje?

    ReplyDelete
  4. Huyu lazima akafirwe jela ili iwe fundisho kwa wengine kama alivyosema kikwete wabaki msiwaonee huruma

    ReplyDelete
  5. mna uhakika ndiye yeye.....

    ReplyDelete
  6. mna uhakika ndiye yeye.....

    ReplyDelete
  7. mtu mwenyew hajulikani halipo hebu acheni kucheza na akili za watu kucopy na kuedit voice ni habari ya mjini clip iko different na mada nimeamini binadam wabaya na itafahamika tu ukweli

    ReplyDelete
  8. uyo sio mbasha, udaku acheni kucheza na akili za watu...

    ReplyDelete
  9. Kama kweli akumtomba kwa nini akimbie lazima akale miaka (30)

    ReplyDelete
  10. sihukumu yote mungu awasimamie kama uongo mnamchuria nalaani

    ReplyDelete
  11. Nilisoma gazetini kua bora ujiue lkn mkumbuke muumba kwani ww ni binadam na hakuna alie kamili hebu funga kwa sala na maombi nae mola atakujibu hayo ni mapito usikubali yakutawale ameeen!!!

    ReplyDelete
  12. penye ukweli uongo ujitenga, hii movie naona bado, ila itaisha na tutaelewa yupi sterling hapa

    ReplyDelete
  13. Huyo mtoto hajabakwa ila alito...mbwa na shemeji yake kwa maelewano yao na ukweli ni kwamba walikuwa wapenzi siku nyingi ila alikuja kukubali kurubuniwa kuwa chambo ya kumkamatisha Mbasha na kweli akaingia kingi.ila Flora naye amekubali kujivua nguo mwenyewe kwa kukubali kurubuniwa na wanaume uchwara na kuvunja ndoa yake kwa ajili ya fedha of which atagongwa tu kwa muda halafu atakuwa dumped tu kama mwanamke mwingine yeyote mbele ya huyo mwanaume wake wa pembeni.solution ya matatizo ya ndoa sio kutaka mmoja wa mwanandoa kufungwa bali ni kujirekebisha pale ulipokosea maana inawezekana kabisa sababu ya Mbasha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na shemeji yake ni Flora ?wenyewe.

    ReplyDelete
  14. Ni kweli kabisa mdau hapo juu, huo uhusiano wake na shemeji yake ni wa muda mrefu ila sijui sintofahamu hiyo ya kutoa hiyo siri ilitokea wapi. Inawezekana kuna jambo ambalo hawakukubaliana nalo. Flora Mbasha ni mmoja wa mfano wa Wanawake wengi ambao wako ndani ya Ndoa lakini kwa sababu ambazo wanazozijua wao huishia kuwanyanyasa wanaume kwa kiasi kikubwa hadi kupelekea Wanaume hao kufanya maamuzi yasiyo na kichwa wala miguu. Ukweli wa minyanyaso ambayo Wanaume wanaipata katika Ndoa bado ni siri ya mtungi..........wapo wengi wanaonyanyasika lakini hawasemi.

    ReplyDelete
  15. Anonymous 3:10, sisemi kitu... meanwhile, soma vile Diamond amekosa katika list ya mavijanaa wasupu wanaopendwa na wasichan a sana

    ReplyDelete
  16. ila flora kachemka, gwajima anae muona ni mwema na ndo anampa jeuri kaaribu ndoa za watu kibao, eti mchungaji, mchungaji bongo kazi yake kutembea na wake za watu tu kila kukicha. hivi kwa nini hachukuliwi hatua shwaini huyu ila hamsini zake zitafika, na yeye ataiona joto ya jiwe . kweli nafsi ni ngumu kuirekebisha haya watoto wa kumtumikia mungu imekuaje na shetani akawapitia kiasi hivcho? flora ana zambi kubwa kumsaliti mumewe na mbasha pia anadhambi ya kubaka so wote wana makosa wasamehane maisha yaendelee

    ReplyDelete
  17. HUYO SHEMEJI YAKE AJABAKWA! WALIKUTA YEYE NI BIKIRA? KACHANIKA KWA KUBWAKWA? AU KIBAKA MZOEFU, ALISHAKUWA NA MAHUSIANO NA SHEMEJI YAKE KWA MUDA MREFU NDIYO MAANA ALIBAKI NYUMBANI BAADA YA DADA YAKE KWENDA HOTEL. KWA NINI AKUONDOKA NA DADA YAKE? NA HUYO FROLA NDIYE CHANZO.

    ReplyDelete
  18. Huyo ni mbasha,watu waige sauti yake ili iweje..km ni ya kuiga mbona toka itoke hii audio yeye mwenyewe hajakanusha acheni Usenge...kuna mtu mwenye uwezo wakujua mambo yote ya ndani yalioongelewa hapo juu?..Flora alikuwa anamnyima unyumba Mbasha sasa mlitaka Mbasha abake mbuzi au kuku?.

    ReplyDelete
  19. Mh! Mbivu na mbichi wanazijua wao.

    ReplyDelete
  20. si muache kitaeleweka atapofikishwa kisutu

    ReplyDelete
  21. Sijawahi kumwona mwanamke kapata neema ya pesa na kuheshimu ndoa yake kama wapo ni wachache sana. wengi wao huishia kuwaseme vibaya waume zao kana kwamba kuolewa ni sehemu ya ajira na akipata ajira ya kuumpa kiato kikubwa ajira ya kuolewa inaexpire immediately. Ni haki yake Flora aishi kama wanawake wengine ni asili yao.

    ReplyDelete
  22. Mungu ndiye HAKIMU wa wote. Tumwachie Mungu

    ReplyDelete
  23. Flora mbasha lazima anachinjwa nje na hy anayemchinja kamuahidi mambo makubwa akiachana na mumewe,kama ishu ni ugomvi ndani ya ndoa ndo aende kuishi hotelini?kwani hana ndugu au marafiki wa karibu ambapo angeweza kwenda na kupatiwa hifadhi??halafu wanawake mbadilike jamani hivi kwanini mkipata mafanikio mnakuwa mnawadharau sana wanaume zenu ambao mmetoka nao mbali??mbaya sana hii kitu kwa hiyo hata kama mme wako amebaka ndo ushirikiane na vyombo vya dola kumkandamiza??hapo kuna namna huyo mbasha anataka kupotezewa jela kama walivyofanywa akina babu seya sio bure kuna mkubwa kaingilia hiyo ndoa

    ReplyDelete
  24. hawa wote wanahitaji wafanyiwe maombi,na Mungu akutane nao Physically.

    ReplyDelete
  25. wanawake wajinga sana kutwa kusengenya wa jinsia yao. ndio maana tuna waplay kirahisi mno.

    ReplyDelete
  26. Kama kweli basi he is a pig

    ReplyDelete
  27. acheni kukuza mambo. ila flora kumbuka biblia yako inasema mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe na mwenye hekima huijenga.

    ReplyDelete
  28. hatukuwepo kwenye tukio hivyo tusihukumu kabla hatujahukumiwa;;;;;; God is there watching us don't forget that kama n kwel au uongo ataonekana tu,,,, na huyo dada kama ana hofu ya Mungu aseme ukweeeeeeeliiiiiiiiiii;;;;;;;

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad