1. Jua kuwa mwanamke au mwanamme anayechepuka siyo mwaminifu. Hivyo anaweza kuwa na mchepuko zaidi yako. That is you are not alone. Hivyo always jaribuni kutumia kinga. Hata kama hana mchepuko mwingine possibility ni kubwa kuwa mme au mke wake pia ana mchepuko. So kutumia kinga ni jambo jema.
2. Hata kama mkiamua kuplay bare inabidi mjitahidi kuzuia mimba. Kumpa mimba mke wa mtu ni jambo baya ambalo linaweza kutokea na kuharibu kabisa maisha ya mmoja wenu au wote.
3. Avoid texting. Sms za ma lavi davi ni nzuri katika kuhamasishana na ku furahia pale mnapokuwa mbali. Lakini linapokuja swala la mume au mke wa mtu meseji ni njia mbaya kabisa ya mawasiliano. Usipende kabisa na ikiwezekana acha sms kabisa. Pale inapobidi kuwasiliana tumieni voice. Piga simu. Watu wengi wamekamatwa kwa sababu ya sms.
4. Msiweke utamaduni wa kukutana. Namaanisha msikutane sehemu na siku zinazofanana. E.g kila jumatano au jmosi sehemu A. Msiwe na kawaida. Badilisheni hotel, siku na wakati as many times as possible. Msiwe na kawaida.
5. Tafuta muda wa faragha ambao sio questionable for both of you.
6. Msipende kutumia usafiri mmoja na kukaa sehemu moja. Kutaneni eneo la tukio na kila mmoja aende kivyake. Msipende kukaa pamoja eneo la wazi kama bar. Huwezi kujua mtu aweza kuwaona. Hata kama mnakunywa nyweeni chumbani.
7. Hata kama mnapendana na ku enjoy kiasi gani kamwe msitelekezw wenza wenu au kufanya wenza wenu wahisi kuwa kuna kitu kinaendelea. Kama lara1 anavyosemma ni lazima uonyeshe high degree ya unafiki.
8. Mchepuko ni siri ya watu wawili. Never intoduce or let your best friends, shoga etc know about it. Hata rafiki zako wa karibu vipi hawatakiwi kujua kama una chepuka.
Wengine wataongezea. Wish you safe michepuko
michepuko siyo dili
ReplyDeletembona hapo unawafundisha wachepukaji? yani dunia siku hizi imeisha kwakweli yani mtu anaandika makala inayowahamasisha wazinzi kweli? badala yakutoa madhara ya kuchepuka ambayo ni mengi wewe unawapa njia zakufanya ili ukimwi uendelee kuambukizwa, familia ziendelee kutelekezwa, maadili yaendelee kupotea kwa watanzania duuh! kazi kweli kweli
ReplyDeletenjia kuu ina foleni
ReplyDeleteUkimwi una kinga acha kutisha watu! kahimiza kutumia kinga!
ReplyDeletehalafu muache unafiki, msiwe kama waislamu wanakataa nguruwe, huku ni washirikina, wezi, walevi na wazinzi! Kama unataka kukemea maovu usichague, kwa vile unaogopa kutombewa! Kuchapiwa ni siri ya ndani kwa mjanja!
Ukimwi una kinga acha kutisha watu! kahimiza kutumia kinga!
ReplyDeletehalafu muache unafiki, msiwe kama waislamu wanakataa nguruwe, huku ni washirikina, wezi, walevi na wazinzi! Kama unataka kukemea maovu usichague, kwa vile unaogopa kutombewa! Kuchapiwa ni siri ya ndani kwa mjanja!
We mpumbavu mwanaharamu mjaalaana, UKOME tena UKOME kutania uislam na waislam, kama ndio mwanzo basi iwe ndio mwisho wako kabla hatuja 'walengesha' kwa Al-Shabab....... mfyuuuuuuuuuu!!
Deletewe kumamako kweli yan auja ona mfano mwingine mbaka waislam? Acha usenge wa kuzitaja imani kwenye mambo ya kishetani hanidh we mbona aumtaji mama yako? Unaboa kumamako
ReplyDelete