Uzuri wa Mtoto wa Kike wa Rais Kagame Wampagawisha Zamaradi Amfaninisha na Cleopatra
36
August 07, 2014
" Nimeshindwa kuvumilia... Huyu Binti wa Kagame ni a REAL definition of beauty... #natural Beauty... kuna ile story ya Cleopatra ambae ndio anasemekana alikuwa ndio mwanamke mzuri kuliko wote duniani.. Na kwa hilo kila mtu ana picha ya Cleopatra aliejijengea kichwani.. KIUKWELI kabisa Hii picha ninayoiona leo ya huyu msichana ndio PICHA YA CLEOPATRA niliyokuwa nayo kichwani miaka yote!! SHE IS EXTREMELY BEAUTIFUL!!! kwa upande wangu." by Zamaradi Mtetema VIA instagram
mabinti wakinyarwanda wengi ni moto wakuotea mbali.
ReplyDeleteHuo ni mtazamo wako mbona Bongo wapo akina Sepetu Sifia nyumbani kuwa mzalendo.
Deleteuzuri wa kuzaliwa nao sio wa mchina,wanyarwanda wanaongoza bhana wee
DeleteWe msenge kweli kuna mijitu kama inassgwa na huyo kikatuni so called sepetu Yaaan kweli huyo chaijaba wenu mwenye mitako iliyolegea kama kundu la bata na sura kama chapati za bakresa unaweza kumfananisha nahuyo binti Kagame?
DeleteKiukweli mtoto wa kagame ni mzuri na mrembo hata akijipodoa kwa rami bado kisu.
ReplyDeletesifanjema kwa walomzaa
yani we mdau iliyemshabikia wema, inaonekana we mshamba kweli na utakuwa umetoka shamba, WEMA? yani kwa hapa TZ ndiyo umemuona huyo? mbona wapo wengi hapa, zaidi ya hata huyo mtoto wa kagame!!! dah!!! rudi kwenu bushi huko!
ReplyDeleteHuyu Zamaradi anaki herehere. Angalia sasa oohh Cleopatra. Acha ujinga wewe tuandikie vitu vya maana.
ReplyDeleteNina wsws na huyu Zamaradi anayenge za kusagwa! ukiona mwanamke anamsifia mwanamke mwenzake mtilie shaka ni msagaji.
ReplyDeleteWe nawe wa wapi,usimsifie mtu kama mzuri?
DeleteMrefu sana kama twiga! Wanaume wenyewe hawa wa kiafrika mapimbi asilimia 99%!
ReplyDeleteWe unaemsifia wema ni mzima au unaitaji kupimwa sasa wema umpeleke kwa huyo wkt hata kwa uwoya tu hafiki eh hivi wewe ni chizi
ReplyDeleteIRENE UWOYA MZURI.NA SIKU ZOTE WAZURI HAWAJITANGAZII.
DeleteNi mrembo sana,ila wanywaranda wengi wanakuwa warembo kwa sura tu ila shepu zoa wengi ni flat screen
ReplyDeletehahahahahahha eti flat screen tena ile ya '42'
DeleteWe unasema tuu unawajuwa wa nyarwanda weye inaobesha huwajuwi myarwanda gani flat screen hawatumiyi china
ReplyDeleteMijutu mingine haina akili kwani Tanzania kuna Wema mmoja tu mi sikumaanisha wema Sepetu.Huyu ni Wema wa Arusha unataka nipost picha yake mbwa wee ndio uone alivyo mzuri kenge kabisa unadandia mada
ReplyDeleteUlima anisha wema sepetu huyo wa arusha unamjua wewe,,,,punda wa kimasai wewe,
ReplyDeleteHaya sasa baada ya hayo matusi mmepata pesa???
ReplyDelete..kwi kwi kwi..waswahili bwana! sad kwa kweli!
Hapo chacha..
ReplyDeletekwan akiwa na nyege za kusagana ni vibaya si ili mladi akojoee mwacheni dada wa watu amsifie ulitaka amsifie mama au mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteHuyo dada kweli ni mzur
ReplyDeleteHahahahaha watu wa na penda kutukana saana
ReplyDeleteKweli uyu bint yupo ktk kundi la wale unaoweza kuita wazuri sana... ilujue bongo kuna mabint wazuri zaid ya huyu wa kagame.. tena sana ila sasa wanakosa matunzo kama haya ya first daughter.. halafu sasa wasichana wetu wakiwa wazuri watatombesha weeeeeee mpaka wanakua ka wanakomaa hv..uzuri wote kuleee ndani ya mda mfupi tu
ReplyDeleteHahahaha mdau umenikoshaaaaa....hahahaha
DeleteUmetisha mkuu pokea like hiyo
DeleteNi mzuri ILA urefu dahh umepitiliza Ni mrefu Sana, kwenye uzuri wake ili Ni tatizo, Ni zaidi ya urefu. Inabidi na kitanda achongewe size yake.
ReplyDeleteMzurisana wanyarwanda niwazuri jamani .urefuwake kwao ni kawaida sihata wamarekani nao warefu mbona r.kelly mrefu pia.so Yuko poa tu Nicole mtt wakagame ILA angefaa kwa modeling wanatafutaga wenye urefu nashingo ndefu.
ReplyDeleteunajua watu huwa hamjui tu, mwanamke asilimia kubwa akipata matunzo ya maana ni lazima avutie tu aonekane mrembo, japo kuna sura ngumu ka za kina zamaradi hata upake nn ndo anazidi kukomaa tu aisee! so kwa huyo bint ni mzuri kiasi cha hali aliyonayo. We unafikili angekuwa kigoma-kibondo kule ndani na huo urefu angekuwaje?
ReplyDeleteHivi Zamaradi unamfahamia wapi Cleopatra unaota eee?
ReplyDeleteHamjue wapi cleopatra zaidi ya umbea tu wa kwenye viitabu na simulizi zake za uzuri, Zama alikosa la kusema ndoo kajishaua eti mzuri kama cleopatra huyo dem mzuri wa kawaida tu sema ni hivyo mtoto wa rais so shobo nyingi za wambea
Deletehahahahha uwiiiii jamani
ReplyDeleteMtoto ni Mrembo Sio Siri
ReplyDeleteHapo utakuta uzuri wa nje tu, lakini mabinti wengi wa kinyalu wananuka papa hao kama shombo la ng'onda
ReplyDeleteKuna dada mmoja hivi nimemsahau jina,ni mtoto wa Kitanga,ni mbunge au mkuu wa wilaya kama sikosei,kwa macho yangu namuona mzuri na anakalisha wengi tu chini,sijua nani yule aliwahi kukupigia cheni miguu yote miwili...mtoto wa rais Kagame yupo kwenye kundi la waziri na huyo mtoto wa kitanga anaingia hapo...Wema Sepetu naye anafungu lake la uzuri,usimchukie sana kuna watu hawali wanawaza ni lini ataangukia mikononi mwao...kwa hiyo duniani kila mtu anawake...mke wangu kwanza halafu anafuata mtoto huyo wa Kitanga.
ReplyDeleteKweli
ReplyDeletewapo Tanzania wazuri sana,kwenda Tanga,Singida nk utachoka mwenyewe
ReplyDelete