Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.
Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.
wewe kama umeoa mzee kaka endelea tu kujifariji, hivi unaoa mke mkubwa kiasi kwamba hadi unashindwa kupishanisha watoto at least 3 years, matokeo yake Ni kubebanisha watoto kama nursery, kusumbua mabinti wa kazi na vitoto vinadekadeka kwa malezi ya kizee, hlf hata hivyo kwanini watoto Wako waonekane kama wanakuita mamkubwa? raha ya kuoa ukiwa kijana haisemeki kiukweli, huo umri ni wakutafuta ada za watoto na sio kuanza kufikiria kuzaa, tusipoangalia tutasomeshea watoto pesa za pension, bora mdada aliezaa lkn si kuoa mke mkubwa aisee unogopa hata kumtania kale kautani ketu!! aaaaa bwana weee, kwa mwanaume sawa but sio mwanamke anakua ni mkubwa
ReplyDeleteAmesema kweli kabisa mimi niliolewa nikiwa namtt na 33age now 36 namtt wapili napendwaje kilakitu na manage naakili imetulia.nahata mwanaume kanizidi miaka 6nae katulia nilimkuta anamtoto.maisha yanaenda tunapanga mikakati mizuri kilamtu katulia anaenjoy life.nikweli tupu.
ReplyDeleteUmeongea maneno ya maana sana.
ReplyDelete