Video:Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania

Diamond AsindikizwaAirport  Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali 

Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania Hata Yesu walimkataa kwao, walimpiga mawe na kusema kuwa hawawezi kufundishwa na mtoto wa fundi selemara na mwisho wakamtundika hadi kufa, lakini baadae alifufuka na mwishowe akawaokoa. Sasa ndio tunachokifanya watanzania kwa Diamond, yaani hatumkubali lakini anatuletea heshima kwa taifa letu, Tubadilikeni na tusiwe kama wayahudi.

Watch Video:



Love Quote of the Day When a woman is talking to you, listen to what she says with her eyes. Read

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna anayemchukia diamond tabia yake ya kulala Na kila mtu ndo tunazichukia,huyu kaka mzima kweli?kioo cha jamii kiko wapi hapo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona wewe unalala na wanaume wenzio kila kukicha na watu wanakuvumilia?Au ulitaka sasa akugeukie wewe?Acha wivu wa kipumbavu

      Delete
  2. Usitake kuchekesha umati, hata wewe ukiomba police escort unaambiwa ulipie kiasi fulani kisha unapatiwa escort. Na hali yenyewe ilivyo tata huko Mombasa wala sitoshangaa akipata escort

    ReplyDelete
  3. adm hujui hali ya mombasa na kenya kwa ujumla?unafurahisha sana

    ReplyDelete
  4. Madancer Wa Vanessa mdee kawalamba wote,huyu diamond SI mzima,halafu mwenyewe anaona sifaaaa.huyu anatakiwa apigwe mawe.mchafuzi.Sijui kwanini atulii,Sasa hivi anamla Zari,tulia Na huyo Zari basiiiii ???

    ReplyDelete
  5. Huyo Zari nimemdharauuuuu tangu niuone utupu wake kwa @mtasanda.Jamaniii Umri Ungekuwa unanunua ili urudishwe nyuma Zari angenunua ni lika langu 36 years lakini anajifanya Kama 21 Na mitoto mikubwaaa

    ReplyDelete
  6. Poor Zari,Leo Farouq ,Kesho DJ,Kesho kutwa Diamond,usililie Uzuri lilia bahati,Nasikia akiwa Na mwanaume anataka yeye awe juu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nikweli Zari hataki kuwa chini kwani yeye godolo,nyie mnayekubali kuwa chini shauri yenu!

      Delete
  7. Sikomenti tenaaaa udaku,anavyobana comments,I wasted my energy

    ReplyDelete
  8. hapa kwetu MAWAZIRI tu hawana escort, sasa huyo DAI apewe escort kwa sababu ipi

    ReplyDelete
  9. aaahhhgg kwani hamjui kama mombasani si salama cku hizi ata muandishi ukitaka police wakusindikize kama utalipia poa tu leteni gengine kwahili ataa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad