MSANII wa filamu na muziki Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amefunguka kuwa ndani ya mwaka 2014 hajapata mwanaume wa kuendana naye hivyo endapo akibahatika kupata mwenye upendo wa dhati mwaka huu, atampa kila kitu anachokihitaji.
Akipiga stori na paparazi wetu, Dokii alisema kitu kikubwa kilichomfanya awatoe wanaume moyoni kwa mwaka 2014 ni kutokana na wengi wao kutokuwa na upendo wa dhati.
“Siwezi kuwa na mpenzi wakati kila siku naona wenzangu wanalia, sijui nitapata wapi mwanaume mwenye upendo, wengi wapo kwa ajili ya kufanya ngono na mwisho wa siku wanakuumiza,” alisema Dokii.
~Globalpublishers
Mwigizaji Dokii Atangaza Kusaka Mwanaume wa Kumuoa 2015
2
January 03, 2015
Tags
unataka kuolewa baada ya kuwa umetumika sana hivyo ........... labda kaolewe na mzee
ReplyDeletewe c umeokoka. Nenda kanisani nina hakika utapata. ILA USIWE NA UCHAGUZI UTAPATA Muinjilist. ILA HAO UNAO WATAKA MACHECK BOB, WENYE HELA, NA UPENDO IS "impossible" mamaaaa
ReplyDelete