Mange Kimambi 'Nagombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa Ticket ya CCM ..Sio Viti Maalum' Kinondoni Bila Madawa ya Kulevya Inawezekana

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Nagombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa ticket ya CCM. Yes jimbo sio Viti Maalum, Kwanini Kinondoni, nitafanya nini Kinondoni ? Zama kwenye blog yangu kwa majibu yote. Misukosuko ni mingi naipata lakini tukumbuke hakuna zuri linalopatikana kirahisi. Kinondoni bila madawa ya kulevya inawezekana. Ukiwa kama rafiki, fan au mzalendo naomba unidhamini kwa mchango wako wa hali na mali, kupitia mpesa 0764 484700 imesajiliwa kwa jina la Mange Kimambi Kama uko nje ya nchi unaweza kutumia www.gofundme.com/ycwfdc . Pia unaweza kutumia pay pal: mybongolicious@gmail.com .
Pia unaweza kutumia western union au money gram kwenda kwa Mange John Kimambi , Dar Es Salaam, Tz. Account ya bank crdb iko kwa blog. Please kasome profile yangu kwenye blog yangu uelewe kwanini nimeamua kugombea jimbo la Kinondoni.....Utanielewa zaidi. www.u-turn.co.tz .
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kinondoni bila madawa ya kulevya inawezekana "NDOTO ZA ALINACHA"Zinashindwa nchi tajiri duniani kama zilizopo Ulaya China na America kudhibiti madawa sembuse wewe yaani ni sawa na glasi yako moja kutaka kujaribu kuijaza bahari which is plain'n'clear that ur dream ain't gonna work

    ReplyDelete
  2. Kashindwakuuza unga sasa anakusanya michango ilki atajirike kirahisi... kugombea ubunge hakuhitajiki michango ya pesa... Huu ni utabperi

    ReplyDelete
  3. mtoto wa "tajiri" kageuka matonya duh!

    ReplyDelete
  4. mzungu wake kafulia, biashara zimemshinda sasa anatafuta pa kushika, wadada wenzake wa mujini wote maisha yao yanaeleweka wanajituma chapa kazi na maisha bora yeye anakaribia 40 bado hakijaeleweka hata choo cha shimo hajawahi kujenga nyumba anayoishi ni either ya baba au ya mume wake, hajawahi kufanya jambo lolote maishani likafanikiwa sasa uongozi utauweza? unaonaje ukifocus na maisha yako kwanza kusimamia mtoto wako asome vizuri na biashara zisimame vizuri ndio urudi kuomba uongozi

    ReplyDelete
  5. Jamani ingefaa atueleze kwanza what exactly she wants. Mi naona anahangaika tu and she is all over the place??? kwa hiyo alifikiria lini ubunge? halafu less than 3 weeks ago ameongelea jinsi gani hawezi kuhama US kwa sababu ya education ya watoto na kwenye blog yake jana ameandika Nimerudi TZ for good?!?!? meaning what? ina maana mume anarudi kuishi na yeye hapa au atarun ubunge kutokea LA au exactly anaplan vipi kuongoza jimbo?? Mange if you want people to take you seriously, answer those fundamental questions that they will be asking themselves okay... otherwise, you are sounding crazier and most lost each day!!

    ReplyDelete
  6. Mange kapigwa chini na maisha sasa kaamua kukimbilia kwenye siasa kama Wema. Mmeshaumiza watu sana sasa laana za watu zinawafata kila muendako. Siasa sio kimbilio. Jipangeni upya. Hasa wewe Mange uliezaa watoto 3 na wanaume tofauti. Rudisha watoto kwa baba zao halafu rudi Dubai kajiuze au bakia bongo ujiuuze kamam Wema. Pumbafff

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad