Header Ads Widget


Ray Awapa Makavu UKAWA

Vincent Kigosi ‘Ray’ 
Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameendelea kushusha maneno kwa chama kinachounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya kufunguka hadharani kuwa hawakuwa na sera ambazo zingemfanya aendelee kubaki.

Staa huyo ambaye kwa sasa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kurudi kwake CCM hakumaanishi kama amehongwa kama watu wanavyoendelea kusambaza habari hizo bali amekwenda kutokana na kuvutiwa na sera.

“Naomba nieleweke kuwa dhamira yangu ya kubaki Ukawa ndiyo ilikuwa ikinisuta. Nikiwa kama mmoja wa wasanii, nimevutiwa na sera za CCM hasa kwa upande wa wasanii ambapo Mgombea Urais, Magufuli (John Pombe) alisema moja ya sera zao ni kujali maslahi kwa wasanii na kuwafungulia mfuko maalum utakaowashughulikia,” alisema Ray.

Post a Comment

9 Comments

  1. Aondoke tuu hatutaki wanafiki, akaendelee kujichubua na mikorogo huko ccm

    ReplyDelete
  2. Haya Ray tunamsubiri na slaa arudi aanze kumnadi magufuli vyote hivyo havitutetemeshi jamani sasahv watu tumeshaamua wakumchagua hata akifufuka Nyerere bado tutawapiga chini tu..,pipoooooozzzzz

    ReplyDelete
  3. Wanahangahika tu hawana mpango

    ReplyDelete
  4. Kwa Watanzania Watumbuizaji wte Hampo huru. Hii ni Aibu kwa Taifa hili jinsi mnavyoshindwa kujielimisha na kukubali kutumika kisiasa. Fani zenu zisitumike kuigawa Tanzania kama mnavyojionyesha wazi na ni watu msio na kitu juu(akilini). Nyinyi si mashujaa, Nyinyi mnakubali kununuliwa kwa pesa ambazo zinawaondolea utu wenu. Sijui nani kati yenu anajua utu ni nini. Wengi mnajiuza njenje. Na kukubali kununuliwa kirahisi basi wengi wenu hamna akili. Kura ni kitu cha siri. Mwacheni Mtanzania ajichagulie mwenyewe. Mnahongwa kila siku. Hamna maadili. Hata mkivaa vijisuti kama juu ni udende basi ni udende mtupu. Sijawahi kuona nchi hata moja ulimwenguni kuitumia fani nzima kupotosha ukweli wa mabo yanayoikabiri Tanzania sasa hivi. Raisi anasema atamtaja na kamtaja kwa kupitia jina la Mbowe na lisu. Kama huyu ndiye jemedari wenu, alikuwa wapi miaka hii nane , alikuwa wapi kuwafunga watu wa ESCROW, watu wa Epa, Meno ya tembo mbuga zote zimekwisha chini ya utawala wake. Hata mkipewa ukweli Nyinyi Watanzania Wajinga wakufikiri bado mnatetea wizi wa serikali ya CCM. Leo wakuu, mawaziri wote wameungana tena kuwadanganya Watanzania kwamba magufuli jembe. Jembe limg'oa Kikwete na Ufisadi, Rweyemamu, Mwakyembe,Majaji wasio na thamani, Gavana wa benki ingawa anaakili toka shule anamtii Raisi auibie Umma. Huu ujuinga wa wasanii wasio na utu, Watanzania wasomi waoga wanashindwa kutumia elimu zao kulikomboa Taifa. Wengi wanaufyata kuogopa kufukuzwa kazi. MMeona Neema na Walinzi hotelini wamefukuzwa kazi. Ujinga gani mnao, na elimu gani mnahitaji. Mnaaibisha Taifa. Mnacheza barabarani Wengine mchezo wa SEx hata haya hamna. Hii ndiyo Tanzania na maendeleo miaka 54 baada ya Uhuru. Tanzania imezaa kizazi kipumbavu namna hii. Ulimbukeni wa vijipesa. Hamjui duniani kuwatu wenye mapesa hata akiwa karibu nawe hutamjua. Anahadhi, Mpole, Mwenye wadhifa, hekima na heshima pia elimu za juu. Mnaelimu za kubabaisha tu na mnatamba kama nini. Ni aibu isiyo kifani. Madebe matupu.

    ReplyDelete
  5. Yuko sawa nyie ukawa achen kupanic kwwn kupanic ni dalili za kufeli mwelekeo wa ukawa sio mzuri

    ReplyDelete
  6. Ziko tabia ya kuchopachopa, ni tabia za watu maalum. hata katika ndoa wapo wanaweza kuchopa kwengine kwa tatizo la mwenziwe tu. au katika dini wapo unaweza ukawa mkiristo mara muislamu mara ushachopa uislamu au muislamu ukazaa na mkiristo muradi TABIA!

    ReplyDelete
  7. WEWE RAY NI MALAYA KAMA WALIVYO MALAYA WENGINE.UNAUZA UTU NA HESHIMA YAKO KWA PESA.HII NI FEDHEHA NA AIBU KUBWA.HII PIA IMENIPA WASIWASI KUKIHOJI KICHWA CHAKO ARE YOUR UPSTAIRS FUNCTIONING PROPERY?NAKUHOJI HIVYO KWA SABABU MARA CHACHE SANA HAPA DUNIANI HUSUSANI KWA WATU WENYE AKILI TIMAMU KUFANYA UPUUZI WA KISHENZI MBWA NA KINAFIKI KAMA WEWE RAY.TUNAJUA SASA HIVI CCM WANA KIWANDA CHA KUFYATUA PESA HARAMU, SAWA WAMEKUPA HIZO MILION 20 HARAMU,LAKINI SASA HUNA THAMANI TENA MBELE YA WATU.WEWE NI LEGELEGE MAMLUKI NA TENA MSALITI MKUBWA.ULIPOAMUA MWENYEWE KUJIUNGA UKAWA HUKUA WEWE? AU ALIKUA MAMA YAKO?

    ReplyDelete
  8. kama kuna mtu atafuata chama Fulani sababu ya hawa wasanii wetu wa bongo basi atakuwa mburulal sana, hawa wasanii wetu NJAA kali, kwahiyo hawajitambui, kwanza wao nina katika nchi hii, wanawasaidia nini wananchi katika maisha yao ya kila siku! mtu kama wema sepetu, ni mzazi gani atapenda mwanae afuate nyayo za huyu mdada? hawa c marole model hawa! hovyooo kabisa!

    ReplyDelete