VUNJA-MBAVU: Staili Tofauti za CCM za Kuomba Kura 2015

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mambo yakiwa magumu unahitajika kuwa mbunifu. Zifuatazo ni staili tofauti zinazotumika na wanaCCM kuomba kura tena kwa wananchi. Wanatia huruma sana. Staili hizi huwezi kuzikuta Ukawa. Cheka kidogo basi




_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hizi staili nyingine hususani kwa upande wa akina mama ni dalili za uchimvi na ukomba-mwitu wa kumteka akuangaliaye ili umhujumu.hili la magufuli ni historia haijawahi kutokea duniani.yeye haombi kura,bali anaonyesha utayari wake kwa shari dhidi ya mheshimiwa lowassa.sisi watanzania kamwe hatutompeleka ikulu mtu mpenda shari-no,never.ni vyema magufuli akaomba kazi za u-baunsa kwenye mafiesta ya wanamuziki,hususani anaozunguka nao.inatisha,ni aibu.hivi huyu bwana amekosa washauri wenye akili timamu? kuna siku ataenda mbali zaidi mfano kuvua nguo wananchi waione misuri.

    ReplyDelete
  2. Kwa mtazamo wangu hizo zote Ni challenge ,kinacho takiwa Ni wewe kusikiliza sera zao mwisho wa siku ukafanye maamuzi yaliyo sahii ! Hizo challenges zipo kotekote c kwa ccm Tu ,tuliona pia kwa ukawa mgombea wake alivyojisaidia !

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad