MAMBO HADHARANI: Hatimaye AGNESS MASOGANGE Afungukia Penzi la DAVIDO

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake na staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido.

Akizungumza na Amani Masogange alisema kuwa kuna uvumi unaovumishwa na baadhi ya watu kwamba amekuwa akitoka kimalovee na Davido jambo ambalo halina ukweli wowote.

“Kwanza kabisa Davido ni shemeji yangu lakini pia kuna ‘project’ kubwa ambayo tunaiandaa. Mtakuja kuelewa tu hapo mbeleni na si jambo la kusema ni wapenzi bila kuthibitisha,” alisema Masogange.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pls toa shombo hizi hapa
    Hapa mambo ni Lowassa via Magufuli
    Lala salama tuseme ukweli Watanzania wasifanye makosa kuichagua CCM
    Lowassa Lowassa chaguo la wengi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad