Sad News: Askari Aliyekuwa Akiongoza Msafara wa Magufuli Afariki Dunia Kwa Ajali

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Askari aliyekuwa akiongoza msafara wa mgombea urais wa CCM Dr.John Pombe Magufuli amefariki baada ya kugongana na bodaboda eneo la ubungo jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama Barabarani Mohamed Mpinga amethibitisha kutokea kwa kifo cha Askari huyo.

Dk Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Segerea leo  jijini  Dar  es  Salaam  kabla  ya  kuruka  na  kuelekea  jijini  Mwanza  ambako  amefanya  mkutano  mkubwa  wa  hadhara  katika  viwanja  vya  Furahisha
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad