Angalia Video Jinsi Rais John Magufuli Alivyowatembelea Wizara ya Fedha Kwa Kushtukiza na Kukuta Wafanyakazi Wengi Hawapo

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa  wakiwa nje ya ofisi zao.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oops huku ni kutisha watu, wakukaya wachukulie watu taratibu lakini kwa ufanisi

    ReplyDelete
  2. Na mkwewe kisha anzisha NGO

    ReplyDelete
  3. na huyu mwanamke mwenyewe suti Nyeusi Nani
    Isiwe Yule tulikuwa wote jkt na mama salma
    Magufuli toa toa mdaku huyu hana Siri

    ReplyDelete
  4. Nenda na Ujenzi kwa ghafla

    ReplyDelete
  5. MHESHIMIWA MAGUFULI,HONGRERA.UMETEMBELEA HAZINA,TUAMBIE WANANCHI UMEIKUTAJE HAZINA YETU? NAULIZA HIVVYO KWA SABABU INAELEKEA PESA NI TATIZO NA KAMA SI TATIZO UMEZIKUTA BASI TUNAOMBA TUPATIWE MIKOPO YETU YA ELIMU YA JUU ILI TUANZE MASOMO KWA UHAKIKA.HALI NI MBAYA NA MASOMO YAMEANZA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad