Ombi Kwa Rais Mstaafu Dr. Kikwete MPE Nafasi Rais Magufuli Ajitangaze..

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Nakumbuka Mkapa baada ya kumaliza muda wake alipotea kabisa kwenye media kwa takriban mwezi nzima hadi tukawa na hamu naye, hii inatoa nafasi kwa rais aliye madarakani kujiamini kujenga confidence, na kutoa nafasi kwa wananchi kumjua vizuri rais wao mpya.

Majuzi uliita waandishi wa habari nyumbani kwako Msoga ukaongea juu ya Taifa stars, TV zinakuonyesha mara nyingi kuliko hata rais.

Juzi ulisahau kumkabidhi JPM kitabu tukakuona sambamba na rais, jana tena umeonekana ukiwa na rais mkihani msiba.

Leo utakuwa uwanja wa taifa sambamba na rais Magufuli tutawaona kwenye TV, dah!

Ombi langu kwa rais wetu mstaafu najua bado una hamu ya kuendelea kuonekana maarufu sawa, lakini muda wako umekwisha mpe nafasi successor wako naye ajulikane.

Kulikuwa hakuna sababu yeyote leo wewe na rais kubanana uwanjani.

Nawasilisha.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. angepigwa marufuku hata kukanyaga ikulu kwa muda wa miaka 15

    ReplyDelete
  2. Mlikuwa hamjui kuwa huyo jamaa ni mshamba fulani nini?

    ReplyDelete
  3. Anapenda show off huyo

    ReplyDelete
  4. Jakaya Na dr kwalipi u Vasvo Dagama
    Mtu mwenyewe ana BA hata master hana shame you
    Hata fusoo mkapa kasoma Hana PhD fake Kama jk

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahah! inawa-uma hiyo na kuwa-choma kama pasi piipoozzz PWAA

      Delete
  5. Wanzibari msikubari magufuli awe msuruhishi kwani hata kura za wizi

    ReplyDelete
    Replies
    1. MAGUFULI YUPO 'BIZE' KUPANGA SAFU YAKE YA KAZI, HANA MUDA MCHAFU WAKUPOTEZA, HAO WAZANZIBAR WATAYAMALIZE WENYEWE.....UPO...HAPA KAZI TU

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad