Samwel Sitta Akatwa Uspika

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
MKONGWE wa siasa ambaye aliyekuwa Spika wa bunge la tisa, Samuel Sitta ambaye alikuwa wakiwania nafasi ya uspika katika Bunge la 11, Kamati Kuu ya (CCM) imelikata rasmi jina lake licha ya kufanya kampeni mapema juzi kwenye viwanja vya Bunge.

Akitangaza majina yaliyopitishwa na kamati kuu Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema katika halmashauri hiyo imeyapitisha majina matatu ambayo ni Job Ndugai, Abdullah Ally Mwinyi na Tulia Akson.
Nape amesema kesho saa nne asubuhi majina hayo yatapelekwa yawasilishwa kwa wabunge wa CCM kwa ajili ya kupitisha jina la mgombea mmoja ambaye atagombea nafasi hiyo na wakambi ya upinzani.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tulia alikuwa akipewa mitihani na dr migiro chuo akiwa mwanafunzi
    Hili ni bomu

    ReplyDelete
  2. KILICHOBAKI SASA SITTA AANZE KUCHUNGUZWA KWA UBADHIRIFU WA LOCOMOTIVES KANJANJA TOKA INDIA NA MABEHEWA YAKE USED,TENDA ZA BANDARI YAANI WIZI NI MWINGI MNO.MHESHIMIWA MAGUFULI USIMCHELEWESHE,APANDISHWE KIZIMBANI.

    ReplyDelete
  3. Anasema sitta hajapata taarifa yeyote rasmi kutoka ccm,kwa hio hajui lolote.anapoendelea kutoa taarifa mbali mbali katibu mwenezi wa ccm nape nauye,sitta hazitambui na hasikilizi,anangojea kuitwa.mnangojea nini kamati kuu kumfukuza uanachama msaliti huyu?AFUKUZWE CCM.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad