Ukawa Waja na Mpya..Wajipanga Kuwadhibiti CCM Bungeni Kwa Kutumia Njia Hii Kuhakikisha Hakuna Kitu Kinapitishwa Kiholela Kama Bunge Lililopita

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Wabunge wa UKAWA wameamua kubadili gia angani ili kuhakikisha rais Magufuli hahutubii Bunge. 
Wamesema si haki wala haileti picha nzuri kwa mtu ambaye hajashinda Urais kihalali kwenda kuhutubia bunge tukufu. Wamesema watahakikisha hahutubii.

Wabunge hao wamesema Safari hii hatatoka nje ya Ukumbi wa Bunge, bali watahimizana kuhudhuria kwa Wingi Bungeni, watakachokifanya wao ni kupiga kelele na kuimba nyimbo za UKAWA hadi Rais ashindwe kuongea.

Wanajivunia Wingi wao bungeni, wanajivunia umoja wao wa UKAWA.
Wanasema bunge hili la 11 ni tofauti na Mabunge yalopita kwani UKAWA wamekuja na mbinu mpya ya kuwadhibiti CCM na kuhakikisha hakuna kitu kinapitishwa kiholela na UKAWA wamepanga kutumia mbinu moja kati ya nyingi siku ya Rais kuhutubia na kufungua Bunge.
Hawezi akahutubia bunge ambalo halina Wabunge wa Zanzibar.
CHANZO JAMII FORAM 
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ujinga eti wasom sasa kwa nini mkubali kua wabung. Bas kusom sio kuelew aobkua na akili ila akil yanyumban inasaidia. Et tutapig kelel ili asihutubie bung sasa hapo munawakilish kina nani? mahakam inamkubal sasa munamping tumien shul mulizo som ili mutumikie wanainch achen ujing mtupu.

    ReplyDelete
  2. Sidhani kama kuna ukweli,kama ndio nadhani kuna kila dalili ya kuugua kichaa,niwashauri tu kwamba ni bora kutohudhuria kabisa kuliko huo ujinga mnaotaka kuufanya.

    ReplyDelete
  3. Yetu macho na masikio.

    ReplyDelete
  4. Wewe unayetaja kuugua kichaa ndiye mwendawazimu mshenzi na, kichaa chako ni cha urithi toka kwa baba yako ambaye naye alilithishwa na baba yake.unauliza Ukawa wameenda bungeni kufanya nini. je kwa uhayawani wako unafikiri pale bungeni ni ukumbi wa CCM?unaumwa.wabunge wa UKAWA ni wabunge wa Wananchi na wabunge wa CCM ni wabunge wa Tume ya taifa ya uchaguzi.Adhabu ya wabunge wa wananchi kwa WEZI HAWA itaendelea hivyo kwa miaka MITANO IJAYO usiku na mchana.

    ReplyDelete
  5. Mahayawani,na si bure kuna mnachokitafuta,subirini chaja.

    ReplyDelete
  6. Labda kama pepo la kususa limewatoka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanasusa vikao vya kisiasa kama bunge,nk lakini mbona posho hawasusi?Hawana msaada kwa watanzania hawa watu zaidi ya kutaka kushibisha matumbo yao,nilishawaona hawafai,wanataka kutuweka pabaya na kujaza chuki kwa wananchi.Washindwe kabisa.

      Delete
  7. PIMBI-KENGERE WEZI WAKUBWA NA MTAKAPOKOSA CHA KUIBA MJIIBIE UNDERWEAR ZENU,MNALO HATUTAACHA KUIARIFU TANZANIA,AFRIKA NA DUNIA JUU YA WIZI WENU WA KURA.TUPO NDANI NA NJE YA BUNGE.MUGABE KESHAWATAMBUA ALIKUJA HAJAWAELEWA VIZURI.=mhariri hebu turejeshe tune ya mugabe kuhusu uchaguzi wa tanzania=

    ReplyDelete
    Replies
    1. unakurupuka kumbe huna habari kamili?Ndorobo wewe.

      Delete
  8. Eti wanajivunia idadi kubwa ya wabunge!! kuliko ya FFU?? Litaingia jeshi kuwabebe mmoja mmoja, kila mtu na wake.......muulize Sugu walichomtenda pale bungeni alipojifanya 'kidume' alibebwa juu juu kama nyau.....HAPANA CHEZEYA CHAMA TWAWALA WEWE............HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad