Angalia Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu Baada ya Habari Kuzagaa Jana Kuwa Amefukuzwa Kwa Ile Nyumba ya Kijitonyama

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Angalia Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu Baada ya Habari Kuzagaa Leo Kuwa Amefukuzwa Kwa Ile Nyumba ya Kijitonyama....
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyumba mpya ya Wema kivipi sasa maana ata ile aliyoondoka alisema yake kanunua milioni280 sasa maigizo tumechoka nayo jamani mtu akipanga au akinunua afanye tu iwe siri yake kwanini wabongo hatujifunzi??????????????

    ReplyDelete
    Replies
    1. si ukamununulie nyumba kama unaweza

      Delete
    2. si ukamununulie nyumba kama unaweza

      Delete
  2. Yanini kujisifiya uko na mpaka magazeti yote yametowa wizi wake wa umeme na maji

    ReplyDelete
  3. nimefurahi sana Wema keep it up wenye choyo wakajitose baharini iwe ni nyumba ya kupanga iwe ni yake kainunua, binadamu kwa nini tumsakame kiumbe kama sisi hebu fateni yenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wakajinyonge na nyumba ya kupanga???? you are idot

      Delete
  4. Huyu naye si anyamaze tu

    Hatuhusu sisi hata akihamia ikulu
    Ila lipa umeme Na maji

    ReplyDelete
  5. Ingekuwa ya Msanii mwingine ungeamini.Wema unapendwa na watu.

    ReplyDelete
  6. si nyie udaku mlisambaza habari

    ReplyDelete
  7. Jozeriine tafadhali kuwa mwelewa ingawa hata uandishi wako unadhihirisha ur primitive

    ReplyDelete
  8. SISI WABONGO HATUTAKI KUJUA MAISHA YA WEMA SAWA

    ReplyDelete
  9. INA MAANA WEMA MPAKA LEO HAJAJENGA NA KUTAMBA KOTE

    ReplyDelete
  10. Atajua mwenyewe

    ReplyDelete
  11. Kila msanii aonyeshe nyumba yake au majumba zake, gari lake au magari zake, ikiwezekana waonyeshe na hata machupi zao. Sababu yote hayo niliyo yasema nimoja ya usanii!!! James B. Kalugira USA

    ReplyDelete
  12. Kwa biashara gani aliyonayo bidada? Wasanii wetu ndo mana wanaishia kutembeza vibakuli Tu wakiwa na matatizo, wanaigiza hadi kwenye uhalisia, wajifunze kwa wenzao kina Genevieve uko magharibi. Wasanii WA bongo show off kibao kwa hela za kuhongwa elimu zao duni starehe mbele hata wakitoa ushuzi wanajipeleka kwenye media tumewachoka jamani, mtu mwenye kumiliki mjengo WA hivi kwanini aibe umeme na maji? Hamjiulizi Tu, shame on u, badilikeni tumewachoka na drama zenu, kama mtu huna huna kama umejaaliwa shukuru Mungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha kuandika usiolijua afadhali wasanii wa huku bongo huyo jenivivi ana move lake la sex amecheza.. usipende kusifia watu kiuongo ili uwaponde watu fulani. kama vipi na wewe ukauze bakuli la nyuma kama unaona wanapata faida.

      Delete
    2. Wewe ndo unaandika usilolijua, wasanii WA west wengi Sana wameenda shule, most of them wana degree 1-2 na wameifanya Sanaa kama kazi tofauti na WA bongo wengi wao wanaifanya Sanaa kama sehemu ya kujijengea umaarufu Tu, wakipata matatizo wanapita kuchangisha vimichango. Acha kutetea ujinga, penye ukweli waambiwe, wabadilike

      Delete
  13. wacheni majungu aliepewa kapewa mnajiumiza kichwa for nothing

    ReplyDelete
  14. semeni nahiyo kapanga na anadaiwa umeme na maji.

    ReplyDelete
  15. wasani wa bongo bongo zimelalala bora hata mziki ila maigizo hawana kitu ni watu wa show off mingiila mifuko haina kitu tushawazoea elimu hawana kabisa form 4 unazitafuta kwa tochi hamna kitu

    ReplyDelete
  16. bongo muvi mlishindwa kumtumia kikwete angesaidia kunyanyua kazi aenu ila mlivyokuwa malimbukeni mkiitwa ikulu mnaishia kupiga nae selfiee na sasa tuko na magufuli wala hataki shobo mbona mtakuma kuringa bata maji nyie na poda safari hii hambebi tena tunazibiti kila kona tukiwadaka kifungo

    ReplyDelete
  17. bongo muvi mlishindwa kumtumia kikwete angesaidia kuboost kazi zenu ttz misifa imewaja mkienda ikulu mnashindwa kujieleza mnaishia kupiga selfie Magufuli ataki shobo lazima muumbuke tuu mwaka huu msipojirekebisha hamjui hata kuigiza ndo maana hamfiki mbali soko lenu liko uswahilini bado mnawaletea nyodo na poda safari hii hambebi tena tunakaba kona zote tukiwadaka kifungo

    ReplyDelete
  18. Akalipe pesa ya watu ya umeme na maji ndo aendelee kujishaua

    ReplyDelete
  19. kwani ile knyama si alisema ya kwake?na hii itakuwa ya kwake kwa kuota ndoto za mchana,na mkumbusheni akalipie umeme na maji anaodaiwa na baba mwenye nyumba knyama kabla hajatumbuliwa jipu,HAPA KAZI TU au mama ongea na mwanao!!!!!!!!!!hahahahahaha

    ReplyDelete
  20. Mmmh ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni kutoka kwenye nyumba uliyonunua kwa m280: n kuhamua kuiuza ili ulipe deni la umeme na maji vya wizi; mpka kuomba hifadhi nyumba za wenyewe waliopo nje tena wala hamiliki range kama we we n c mpenda sifa kama we we uliyetuambia umenunua nyumba 280m.dah onyo tena kubwa mpenda sifa hiyo nyumba c sehemu ya matangazo kama unapenda msaada kaa kimya n icjeckika eti unawadanganya umenunua hiyo nyumba utaangukia pua bidada. Kwani nyumba c kama hayo makalio ya mChina mnayonunua kariakoo.

    ReplyDelete
  21. mtasema sana Wema huyoooo! kwa raha zake wewe usokuwa na matako ya mchina mbona huyaonyeshi huna jipya hasira za kukaa vibarazani hizo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema uko juu.kukuchafulia jina ndio kukupandisha zaidi.Waonyeshe gari ulilokuwa nalo kwa sasa wajiuwe kwa sumu ya Panya.

      Delete
    2. Hallo Hilo gari la kuhogwa Asante Magufuli
      Fyuuuuuuuuuu
      Malaya huyu asiyejuwa kuchamba wala kutawaza

      Delete
  22. Wema woyoooo waache walale macho kwa jiri yako wwe kula gud tym, TATIZI NYOTA ng,arisha yko

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad