Money Can Buy Everything! ZARI Flaunts Her Car Park Full of Expensive Cars (PHOTOs)

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Diamond’s lover, Zari Hassan, is among the East African female celebrities who are eating life with a big spoon and living the life that many people dream of.

Money to her is not a problem and she can afford all the finer things in life thanks to her fat wallet.

Just to prove her worth, Zari flaunted her parking lot that is full of expensive guzzlers which most of you only see in high budget music videos.


Check out the photos below and see how Zari rolls.








_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizi picha Za siku mingi akiwa na Don Ivan.na hii gari ya Orange majuzi alipigia picha Ivan sasa sijui ni ya Zari au Ivan?But all in all ili huyu dada aheshimike ni lazima afunge ndoa,amuogope Mungu aachane na tabia ya kujionesha sana hadharani uzinifu wa waziwazi.Afunge ndoa aheshimike.Aishi kwa kumuogopa Mungu kikweli kweli.Akifanya hivyo Dunia nzima ita mheshimu

    ReplyDelete
  2. Hizi picha Za siku mingi akiwa na Don Ivan.na hii gari ya Orange majuzi alipigia picha Ivan sasa sijui ni ya Zari au Ivan?But all in all ili huyu dada aheshimike ni lazima afunge ndoa,amuogope Mungu aachane na tabia ya kujionesha sana hadharani uzinifu wa waziwazi.Afunge ndoa aheshimike.Aishi kwa kumuogopa Mungu kikweli kweli.Akifanya hivyo Dunia nzima ita mheshimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwahiyo akifunga ndoa basi apo wewe kiroho kitatulia sio??
      kweli kazi unayo aisee duhh

      Delete
  3. Magari haya Acheni ukuma Na ushoga
    Hata Leo ughaibuni nawe za kwenda dukani nikapiga Picha ntakavyo
    Fyuuuuuuuuu
    Ushamba huuuuuuu Zari

    ReplyDelete
  4. Waafrica tutakuelewa jinsi gani unavyo wasaidia masikini
    Kwani serikali zetu zimejaa ufisadi, lakini kuonyesha what u have tena si vyako
    Ni laana hata kwa mungu

    ReplyDelete
  5. Tukatae tukubali thamani ya mtu ni pale anapomtii Mungu tu,so wewe annoy hapo juu kama unaona ndoa si muhimu ina maana ni mpagani kwahiyo hata huwez kumshauri mambo mema.Urembo una faida gani Ama utajiri unafaida gani kama unaishi maisha ya anasa ya kutozingatia amri Za Mwenyezi Mungu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wivu unakuwasha unamsingizia Mungu kwani wewe nani peleka uchawi wako uko mbwiga wewe

      Delete
    2. Ukumbuke siku ya kufa huendi na chochote, si magari pesa, nyumba lawa u superstar, na kama wewe ni mwislam basi utaenda na sanda hata laki haifiki kwahiyo tusijidanganye jamani. God is everything na maisha ya binadamu ni kama kibatari yaweze zimika anytime, just that you know, because we tender to forget that.

      Delete
    3. sasa we wa ajabu kweli maisha ya zari yana kuhusu nin sasa tena kwa taarifa yako unaeza ukajikuta motoni na yeye mwenzako yuko peponi shauri yako
      who are you to judge, you point one finger on her while three fingers are point back at you
      shame

      Delete
  6. Ni vizuri kuwa na magari hatukatai, lkn ndoa ni heshima kubwa sana kwa mwanamke hasa ukiielewa maana yake na ukaitetea, hata usome kuliko wengine uwe juu kama rocket kama haujiheshimu ktk ndoa yako hiyo elimu yako ni sawa na bure. Anawafundisha nini watoto wake sasa, kutwa kucha kunyanyua miguu insta na mipicha picha, mwanamke mzuri na jasiri ni yule anaejali familia na kuwa mfano bora kwa jamii, kitanda hakizai haramu ndg yangu, chagua unaempenda funga ndoa badala ya kutangatanga mara leo south mara Tz lo!. ujana una mwisho dada. kama umempenda kaka yetu fungeni ndoa basi ili usiendelee kuonekana hawara, faida ya kupenda dogodogo, angekua saizi yako yote haya tungesikia wapi. TUKATELE

    ReplyDelete
  7. Na kule kwetu tandale tumeshtuka long time cha wengi hatukitaki na garama hizo Ni za wengi wagaramia tumeshtuka

    ReplyDelete
  8. Hizo garama tumeshituka kule kwetu tandale ndio maana hadi Leo jiiiii maana mmh chawote the danger

    ReplyDelete
  9. atuoneshe na charity zk sio magari ya matangazo ya mabwana zake wa zamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad