Mwanamuziki Diamond Platnumz Aweka Historia Tena Dar Live...Angalia Alichofanya Hapa

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
IMG_7989Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
IMG_7359
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
IMG_1416Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
IMG_7371Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
IMG_7324Diamond akiwachombeza mashabiki.
IMG_7325Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
IMG_7344Akiongea na mashabiki.
IMG_7377
IMG_7379IMG_7383Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.IMG_7390Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii.IMG_7432Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.IMG_7455
IMG_7973Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live.IMG_7927Mashabiki baada ya kupagawa na shoo.IMG_7975…Akiongea na mashabiki wake.IMG_7991Akiwasalimia mashabiki.
(PICHA: MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tisha sana Mondi

    ReplyDelete
  2. kaweka history gani. cku ya skukuu kila pahali panajaa.

    ReplyDelete
  3. MBONA WATU SI WENGI KAMA MLIVYOTAMBA?

    ReplyDelete
  4. Ni ya kawaida hakuna jipya. kiki nyiingi mwisho sarakasi.

    ReplyDelete
  5. acheni kumpaisha Domo hakuna historia yoyote hapo. kawala pesa tuu

    ReplyDelete
  6. ha...ha..mmeona eeh,domo anawatoa njaaa hawa,ufukara shida sn

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad