Picha: Diamond Platnumz Akiwa na Watoto Wote wa Zari

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari the boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa mkali wa bongo fleva, Diamond Platinum alitupia picha hizi akiwa yeye, Tiffah na Diamond pamoja na watoto watatu wa zari ambao diaomond alimkutanao kuandika maeno kuashiria hiyo ndiyo familia.

Hii ni kwama mara ya kwanza kwa diamond kupiga picha na watoto hao wa zari tangu Diamond awe na mahusiano na mwanadada Zari.

Jionee picha hizo hapo chini

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lovely Picha
    Wenye wivu kandeni

    ReplyDelete
  2. Hao watoto watakuja kumpiga huyo Diamond na ushungi wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema team mnawivu
      Lipeni umeme Na majiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
    2. baba gani anavaa suruali ya kuhuni na kanzu?mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

      Delete
    3. Ongera kaka

      Delete
  3. kupendeza wamependeza,, lakini jamani kweli tumetofautiana akili, na kuna watu wana familia zilizokosa maadili, ...sasa wewe zari unawafundisha nini hao wanao? na unamtambulishaje hapo kwenu huyo dai? ..hata wazungu wana staha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila wema mwizi wa umeme na maji ndo wenye strahaaaAaaaaa
      Fyuuuuuuuuu

      Delete
    2. Wema humpati si kwa sura si kwa pesa domo arudi kwako ngooooooooooo

      Delete
  4. Mmh jamani watoto wa zari wazuri sana. Lakini mama Yao kawavunjia heshima sana kwani Dai n watoto wanaringana tu.tofauti ni ndogo mno. Naungana n Anony 9:46 naweza sema me n we ni washamba sana.lakini hao wajanja ukiona umefikia Hatua kama hiyo ya Dai n zari ni ya AIBU kubwa c kwao tu mpka kwa Jamii iliyowazunguka.kwa mwanaume/mwanamke aliyelelewa vizur n maadili n hofu ya Mungu uwezi uwezi kabisa kumuonyesha mzazi wako mwanaume mwingne hat kama Yule wa mwanzo mmeachana aiwezekani. Au eti binti aujaolewa kabisa unamuonyesha mzazi wako hawara yko tena n mama anafurahia jambo Hilo binti yko anakis n hawara yake mbele yako mama unashangilia kweny b'day ya mwanao. Tuelewe AIBU ya mwanamke c sawa n ya mwanaume.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unavyoongea utafikiri wew apo ni mkamilifu huna dhambi wala mapungufu yeyote
      dai na zari wamependana na watoto wa zari hawana shida nyie watu sijui mkoje wivu tuu umewajaa
      fyuuuuuuuuuuuu
      na utabakia hivyo hivyo na ushauri wakousioenda shule

      Delete
  5. Mimi naangalia mapozi ya hao watoto mhhhh yaaani wanaoneka wamelazimishwa kabisa maskini wangefanya madudu yao and leave those kids out of spotlight it's sad kwa kweli

    ReplyDelete
  6. Mbona watoto wamenuna? Sijui wamelazimishwa? Lol huyu Dai analo litafuta litampata, show off zitamtokea puani,yani kuzaa watoto wengine hasara, mama yake nahisi anaumia Sana sijui itakuwaje km ataendelea na tabia hii ya kushindana ili mradi Tu uonekane na wewe kidume, sometime you have to let things go unapoona hapa hakuna mwisho mzuri and don't care about others, exes says, at the end of the day is your life, but don't do this diamond this family aliyoingia itakywa down fall yake,she is nothing but the money, na ex wake is nothing but to make sure you kuwa ume disappear, he can't compete with them, he don't know them,and what are callable with,Dai don't need that drama family he is so young, ndio kwanza kaanza maisha, poor diamond listen to your mom and leave that prostitute alone, this how she do to survive. Hana aibu huyu zari na wala hamuogopi mungu, na ndio maana ktk uislam hayupo wala ukristu hayupo, she is just a dirty bitch search for innocent young poor boy like Dai to use them, she ain't mother fucker rich, she ain't a bossy, she use her pussy to make money, she is a prostitute period!

    ReplyDelete
    Replies
    1. I side with you. The big boys ni wamelazimishwa the way walivyonuna. Jamani mbona there are a lot of cute ladies out there bro Dai...sit down...settle and make a wise decision.

      Delete
  7. Kila mtu na maisha yake mbona wanawake wengine wanalea watoto wa kambo kibao na maisha yanasonga

    ReplyDelete
  8. Hayo ni maisha yake mbona kuna wanawake wanaishi na watoto wakambo kibao na maisha yanaendelea

    ReplyDelete
  9. Kila mtu na maisha yake mbona wanawake wengine wanalea watoto wa kambo kibao na maisha yanasonga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad