Zitto Kabwe, Tulia Kama Wenzako - Acha Majungu

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mimi namshangaa sana Zitto Kabwe, mbona anahangaika sana na mambo mengi, maneno, majungu, kujidai yeye ndo mgunduzi wa ufisadi etc? 

Bwana Zitto hii serikali ya Mh Magufuli inajimudu, hembu tulia kama wabunge wengine kwa kipindi hiki na acha kuleta mambo mingi mingi isiyokuwa na maana, Mzee hatokupa cheo chochote.

Mambo ya ukawa kuwa na watu wa shutuma za ufisadi wakati wa uchaguzi yanakuhusu nini? hata mgombea wa ukawa alikuwa na tuhuma lukuki za ufisadi? hivi hili nalo ni jipya? si utulie tu ukae na familia yako kipindi hiki na upunguze maneno yasiyo na tija?

Nafasi za Ajira
Bonyeza www.ajirayako.com
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto hataki cheo koma wewe
    Zitto Mtu wa hoja na vigezo
    Kuku wewe nafikiri u fisadi toka kwa kikwete

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtajikomba kweli mwaka huu! na bado! hizo ni rasharasha.. mvua yaja! Mungu ampe uzima JPM wa waTZ

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad