Picha: Alikiba Avuta Umati wa zaidi ya Watu elfu 10 Machakos, Kenya

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.

“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”

Jionee picha zaidi.





_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. semeni sasa mlozoea kumponda.

    ReplyDelete
  2. Simba mwenda pole, hana majivuno hataki kiki za kijinga, watu wameamua kumsapoti sasa. huyo Domo atabaki na bi kizee

    ReplyDelete
  3. ingekuwa mwanafulani si matangazo mpaka chooni. Hongera kiba mola azidi kukuongoza

    ReplyDelete
  4. action talk sio kiki za kuonyesha sarakasi.

    ReplyDelete
  5. waonyeshe Kiba, siyo mipasho ya kike kama dada powa

    ReplyDelete
  6. mwanaume atishiwi nyau, Kiba piga kazi waanche wanaojionyesha maka wakinya chooni.

    ReplyDelete
  7. Salaam mnafiki kama demu, kuonyeshwa Kiba na nyomi et katoa Domo kashinda lol kumbe kinawachoma eeeh.

    ReplyDelete
  8. tunakupenda kiba na kupenda kazi zako,huna kelele,mungu akupaishe kimziki 2016

    ReplyDelete
  9. good king kiba

    ReplyDelete
  10. hongera Kiba ongeza bidii uzidi kuonyesha umma unaweza kwa vitendo, na si kwa mafumbo na kiki kama demu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad