Wema Sepetu Asema Ataendelea Kukaa Kimya,ila Muacheni Lulu.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mastaa ambao wamekuwa wakichonganishwa kwa muda wanazidi kukataa kuonyesha tofauti zozote kati yao, Wema Sepetu amewaponda wanaomsogeza movie staa Lulu kwenye mambo ya mahusiano ya Wema Sepetu.

Haya maneno ya Wema kuhusu issue hii “Leave Her out of This… Please….!!!! @elizabethmichaelofficial Lala kwa Amani baby… Nimesema mimi… People dont know mwanzo wa vitu ila wanaongea as if wanayajua… Mi ntaendelea kukaa kimya ila muacheni huyu mtoto please…“
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wema ww ni corrupt wa mapenzi nchi hii sema unakutana na mamburula wa mapenzi ndo maana....ungekutana na vichwa mbuzi wazee wa mukuyati ungekaa tu. Na huyo Idd wako wote ni wafuska tu hamna lolote tumechoka na drama zenu......

    ReplyDelete
  2. Mimba ya Wema ina miezi mingapi sasa? Anazaa pacha? Boy? Girl? Drama Queen.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mamba my foot, mamba stoke wapi nyiee, mimi ni nurse mamba amesema ni week 13 na emetoka then the next day yupo mitaani na wacongo please give as a break. huyu moto ni drama qeen na hao wanamfollow nap wanamuamini, she need to stop. I did not like Zari but now i start believing her. atakuwa zari anaambia na mondi, hugo hana lolote anaconda kufiki vita ndio manna Zari ana confidence yakuonge jun ya wema.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad