Diamond Platinumz Kubeba Familia Yake Nzima Kwenda Ulaya... Amenigusa Kwelikweli

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake Ujerumani Alipoenda Kufanya Show, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu ya moyo wangu nimefurahishwa, nimeguswa sana na upendo huu wa kijana mwenzangu kwa mama yake! Mungu ambariki sana
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ubarikiwe Daimond,
    Tuone na kwa baba pia hata
    kama sio kuambatana nae mnaposafiri
    lakini tusikie baba kaenda kutibiwa india kama
    ilivyokuwa kwa mama,kumbuka yote yanapita lakini hazina mbinguni
    haina mwisho.

    ReplyDelete
  2. ni kweli hongera sana diamond kwa kuipenda familia yako!!!! bravo kijana.mdau hapo juu umesema kweli

    ReplyDelete
  3. kila mtu anapenda kufanya hivyo ila uwezo ndio tatizo

    ReplyDelete
  4. Wapo wenye uwezo wapo na mashangingi tuu.lkn Mr Dai upo juu kwa hilo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad