Header Ads Widget


Hii Imekaaje Kwa Kijana Wetu Diamond platnumz...Atua Ujerumani na Timu Kubwa Kutoka Tanzania..

Katika kile kinacho itwa From Tandale to world tour,Diamond leo ametua Ujerumani kwaajili ya kukinukishaaa!

Lakini kilicho nishangaza ni kundi kubwa la watu alio nao,Sina kinyongo nao sababu wote nilio waona wanaumuhimu wake kwa huko aliko enda lakini najiuliza malipo ya show yake Moja yatakuwa yanamlipa sana hadi anweza kufanya hivi

Nimeona yupo na Mama ake its gud kwa shida walizo pitia na mama ake sasa niwakati wao wakula mema ya dunia amefanya kitu kizuri sana,Mwingine nimemuona Mke wake na mwanae nayo haina tatizo ni kizuri kwa mapenzi alio nayo kwa mke wake na mwanae,Nimemuona Rommy Jons naye hana shida ndo official Dj apart from kuwa na undugu na Diamond,

Nimeona Babu tale na Sallaam wote ni Mamanager wake its gud nayo,Nimewaona Madancer wake wanne yaah nao ni muhimu ukizingatia kuwa wanapiga sana kazi,nimeona Maphotographer wake akiwemo Kifesi ya nimuhimu kwa picha na Video kwa mashabiki

Sasa swali langu ni kuwa hivi hizi show Diamond zinamlipa sana hadi kufikia kuwa na watu wengi hivyo ambao anawagharamia kuanzia ticket za ndege Go and return ambapo kwenda nauli inaweza kuwa zaidi ya 2M kwa kichwa kimoja,atawagharamia malazi na chakula,Kuna wanao tegemea kulipwa hapo kama madancer,Dj,na Maphotographer,bado kuna zile bata ndogo ndogo na watakaa si chini ya Siku mbili!

Inaonekana Diamond hizi show Zina mlipa sana kwa hili la leo alilo tuonesha ni salamu tosha kwa Wasanii wengine kuwa Mziki unalipa na waache kulemba kwenye Game,kumbuka apo atagharamia mavazi ya kwenye show daaaa Diamond tunyooosheee

Zaidi ya watu kumi kweli Diamond kiboko Tunyooshe

Post a Comment

14 Comments

  1. Na yule bibie wa biashara za kuyumba yupo jamani napita tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kajaa tele kama yule wa mimba feki.

      Delete
    2. Wa mimba Feki aungi behewa kama wa biashara za kuyumba eti ehh

      Delete
    3. Mimba feki hata kale ka mradi ka lipstic za kichina kamemshinda. Kabaki kuuza nyapu. Biashara kuyumba anapelekwa viwanja. Mimba feki alikuwa anapelekwa songea na kwenye meli mbovu ya kigoma au kuchezeshwa shoo. Hahaha. Alivyo kapuku alikuwa anajiita 'mizes tu bi'. Bi Sandra akatia veto. Mimba feki akakimbilia kutangaza kamwaga Dai. Mtaumwa na dawa hakunaa

      Delete
    4. Bado ukweli uko pale pale kwani huyo wa biashara za kuyumba si anagawa nyapu tu kuolewa hajaolewa ,anaacha watoto mtaa wa pili walelewe na baba Yao lol ,yeye kazi kuuza nyapu hey we call her baby making machine ataunga sana behewa angemuacha mama watu afaidi naye ameunga behewa na baggage badala ya mama watu kula maisha wanenda kumfanya baby sitter sikunyingine diamond ukitaka kumpa raga mama yako chomoa mabehewa haaah lol

      Delete
  2. Work and family holiday

    ReplyDelete
  3. kwam=ni kakufuata kukuomba msaada wa nauli yaa hao watu. hebu acha ushawishi. nyinyi ndo wakaanga sumu msiopenda maendeleo ya watu. kama unaona dili sana nenda na wewe ukafnye show basi ili ubebe watu wako.

    ReplyDelete
  4. wanabeba na sembe umo umo kwa kivuli cha show na hilo kundi lake wengine wana sembee humoo

    ReplyDelete
  5. heee binadamu bwana huwa haturikizi kabisa sasa wewe ulitaka aende peke yake?? nyie ndo wanga wenyewe. sioni la ajabu hapo. bravo diamond wewe mtu wa watu. acha mamake afaidi matunda ya mwanaye.!!! nakushangaa wote wana umuhimu sana kama ulivyosema.

    ReplyDelete
  6. MBONA IMEKAA VIZURI SANA MDAU!!!HONGERA DIAMOND. NIMEIPENDA.

    ReplyDelete
  7. iko siku itajulikana. sembe na bibi kizee ndo kimechangia.

    ReplyDelete
  8. WATANZANIA WAPUMBAVU DIAMOND ANAJIELEWA KAENDA KIKAZI NA LIKIZO YA KIFAMILY AMEAMUA KULA NAO MAPUMZIKO AKIWA KTK KAZI MXEEEEEEE MWACHENI DIAMOND AWANYOSHE MAVI NINYI

    ReplyDelete
  9. HELA INAYOINGIA KIRAHISI PIA INATOKA HIVYO HIVYO.MILLIONI 100.SIO HELA NDOGO.
    TRA HAWAJAPIGA HESABU YA MAPATO YAKE.

    ReplyDelete
  10. diamond auzi sembe ila zari nina uhakika asilimia mia,alishawahi kukamatwa alivyokuwa mjamzito wa tiffa ila kinje akauwa kesi.

    ReplyDelete