Jamani Madawa ya Kulevya si Mazuri..Tazama Jinsi Mwanamuziki CHID BENZ Alivyo Sasa....

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
 Muonekano wa Mwanamuziki Chidy Benzi Akiwa katika kituo cha Runinga cha Clouds TV....Video hii imesambaa mitandaoni ikionyesha jinsi mwili wa Mwanamuziki huyo ulivyodhoofika kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya kitu ambacho yeye mwenyewe alikuwa akipinga kuwa hatumiii...

Angalia Video Hapa:


A video posted by UDAKUSPECIALLY.COM (@udaku_special) on
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana issue,sote tutakufa lakini chake ni muendelezo wa akina ngwair, banzastone, langa ,jeez mabovu, jamii ndio ifahamu kuwa drugs cio nzuri

    ReplyDelete
  2. Waacheni wafe ...WHO CARE!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad