Tanzania yenye Neema: Madini ya Almasi Yagunduliwa Mkoa wa Singida

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Madini ya Almasi yamegunduliwa katika mkoa wa Singida.Hayo yamesema na kamishna wa madini. Hata hivyo uchimbaji wa madini hayo mkoani hapo hayajaanza kuchimbwa.

Chanzo: Magazeti asubuhi

Rai yangu ni kwamba iwekwe mikakati thabiti kuhakikisha madini hayo yanakuwa msaada kwa watanzania sana sana mkoa wa Singida ambao ni mkoa masikini Tanzania.

Sitegemei kuona wanasiasa wanaanza kujimilikisha vitalu ili kunufaisha mitumbo yao na familia zao.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WOW SINGIDA TO BE LIKE SINGAPORE!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmmmh. Na ndoto za mchana mchana, nawe, Magu ndio anapambana na wale wote wanawaza kujaza mitumbo yao, labda wote Tanzania tumpe support ndio itakuwa huko singida kama Singapore, Lakini bila hivyo mmmmh ni mwendo wa kula mchunga tu na kushushia Maji ya kisimani, wanyama binadam wote kisima hicho hicho tunagombania maji, watalao tajirika ni huko mamtoni wao ndio haaa mwendo bustani eden huku Ninyi mmmmmh wenzenu wamedanganywa na tuvijihela twa kujaza matumbo na watoto wao kupata chooo, nyinyi mtakaaga mnakodoa mimacho tu. Na mivumbi yenu, kosa Mali pasta akili

      Delete
  2. Tatizo wana siasa vihiyo wanaogombania mdaraka kwa ajili ya kujinufaisha wenyewe na familia zao hao ndio tatizo wanatufanya tuzidi kuwa maskini. Kitu kama hiki akitaji kumilikiwa na mtu binafsi bali serikali. Lakini hutona ajabu furani mwenye madaraka anajimilikisha. Na niafadhali utawala au uongozi wa Raisi wetu mpendwa magufuri ana maono anapenda Taifa letu na anajua nini? Maana ya uongozi. Lakini ule uliopita hapo ungesikia. Labda mtoto wake ndio mmliki au swaiba. Au mwekezaji na huyo muekezaji atakomba yote na kusamehewa kodi juu na sisi tuchopata kidogo kwa kuwa kikubwa kesha toa rushwa kwa viongozivimeingia mifukoni mwao. Muekezaji anapeta tu kwa kukomba. Na mikataba minibuss Yaani alimradi Afrika ni bara tajiri sana lina mali asilia zilizojaa. Lakini ndio linaongoza kwa umasikini Sababu ya ujinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sanaa tu mdau Africa ni bara tajiri, Tatizo linakuja hapo tu kila mtu anataka madaraka ajilimbikizie na kuziacha nchi zao zikiwa hoi, wanachi wake wengi wakisuffer na maisha. Na akitokea kiongozi alienyoka kutetea maslahi ya Taifa huska, atapigwa weeee mpaka, ndio maana hatuendelei, kwa kuwa watu wamekaaa kampuni ya mufirisi kulifirisi Taifa na kuliacha hoi likitia aibu.Kwa kila nyanja ni shidaaa hili bara kwa kweli, na wengi ndio hivyo tena wajinga wajinga mradi wakidanya tu kwa propaganda wao sawa tu, kwa ajili wamepungukiwa na upeo wa IQ

      Delete
  3. Taarifa Ni nzuri.. Ugunduzi Ni mwema..shaka ya cc wanchi kuibiwa Na vigogo hatunayo tena... Labda mungu amchukue Raisi wetu... Tunamuombea umuri mrefu Na kilichobaki hapa Ni umma kufaidika mchezo hataki... Utapeli Na uchakachuaji haupendi... Spedi yake ya uwajibikaji tunaijua... Dhuluma Na mikataba hewa isito Na maslshi kwa nchu haitaki Na anawanibisha wote wahusika.... Imani tunayo khofu imetutoka... Endelea JPJM... TUKO SAMBAMBA BABA

    ReplyDelete
    Replies
    1. John pombe kaenda Geita. ..akiwa njiani Singida ni next stop... Tamworth na agiza litatolewa.. kaeni makini... HAPA KAZI TUTAKOMA. ...Mchezo hataki lazima kila mtu a wajib ikea ipasavyo

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad