Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Aliyekuwa mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo. Haji alikuwa mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha Bendera ya CHADEMA
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ahaaa......tuliwambia sisi huyu siyee!! Hiyo ndiyo CHADEMA bwana walikuwa wakitafuta kura za Pemba tu, hawana habari naye tena naye kesha ona huko hana chake tena bora ajisogeze kwapani kwa Maalim huenda akapewa urithi maana si unajua tena mh. anapigania afya yake kipindi hiki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiwe mvivu wa kufikiri, unaijua sababu iliyompeleka CDM?

      Delete
  2. Ww upo ktk dunia gani?wakati duni anahamia chadema ilikua ni mwanachama wa muda tuu ili akidi ya kugombania umakamu itimie sio km alihama chama mojakwamoja,nandomana amerudi,sio kwa sbb chadema c chama kizuri we vepeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad