Kajala Masanja Amtolea Chozi Kigogo wa Wema Sepetu Aliyefulia Mpaka Kuonekana Akiuza Chips

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Siku chache baada ya gazeti dada na hili, Risasi Jumamosi kuandika juu ya aliyekuwa kigogo wa msanii Wema Sepetu, Clement Kiondo ‘CK’ kunaswa akiuza mishikaki, tukio hilo limemliza shosti wa Wema, Kajala Masanja.

Kumwaga chozi kwa Kajala kumetokana na maelezo yake kwamba, baada ya kuiona habari hiyo hakuweza kuamini kama kweli ni CK yule aliyewahi kumtolea shilingi milioni 13 kama faini ili asiende jela kutokana msala aliokuwa nao.


Akizunbumza na Ijumaa kwa majonzi, Kajala alisema: “Kiukweli nililia sana, nilishindwa kuamini kama kweli CK amefikia hali hiyo,” alisema Kajala ambaye pia aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na jamaa huyo.

Akasema stori hiyo isingekuwa imeambatana na picha asingeamini lakini alipoona zile picha zinazomuonesha CK akiwa jikoni akimhudumia mtu, alishindwa kujizuia na kujikuta akibubujikwa na machozi.

Tukio la kunaswa kwa CK akiuza mishikaki lilinaswa na mapaparazi wetu juzikati kwenye baa moja iliyopo maeneo ya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar, jambo lililozua maswali mengi kutokana na jeuri ya fedha aliyokuwa nayo kigogo huyo.

GPL
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahhahah unapata pesa unazichezea na malaya wa mjin unategemea nn huyo anaelia nae mnafki si umsaidie sasa si ulikula pesa zake na ww na kulalwa ulilalwa cha kujiliza...kipi sasa..muacheni aonje joto ya jiwe..na zile million kumi13 hazikuwa za ck zilikuwa za wema...so bow down b×***ch n respect that

    ReplyDelete
  2. Sasa mnajiliza nini, si mummpe tafu maisha yasonge! Wanawake mkiwezeshwa mbona huwa hamrudishi fadhila?

    ReplyDelete
  3. kupanda na kushuka ni jambo la kawaida katika maisha.

    ReplyDelete
  4. Kuma usipocheza nayo vzr inaleta umaskini, pole ck

    ReplyDelete
  5. kama alikuwa mpenzi wake kwa nini asilie na mmesema alimtolea million 13??? pia inaonyesha kuna tatizo kwa nini iandikwe kigogo wa wema halafu ni mpenzi wa kajala. kumbe ni kweli hamuuzi bila jina la wema???

    ReplyDelete
  6. Sasa kama hiyo ni baa yake kuna ubaya gani wa kusaidia wafanyakazi wake?

    ReplyDelete
  7. ni maisha tu atavuka na sidhani kam atrudia tena

    ReplyDelete
  8. Hapo sijaona tatizo, sana sana namuona huyu jamaa nimtafutaji wa ukweli, hata kama hapo mwanzo alizitumia vibaya lakini anajua kuzitafuta, inawezekana hata hizo zilizomalizwa na madadapoa alizipata kwa njia kama hizi, ndio maana haikua vigumu kwake kurudi katika biashara kama anazofanya sasa. Ni mfano mzuri wa kuigwa hasa kwa wabongofleva na bongomovie.

    ReplyDelete
  9. mhhhh JPJM ni lazima amfatilie na kama alifanya ubadhirifu.. (manake mshahara wake unajulikana) je mishe mishe gani alifanya ikulu wakati wa JK na kutojulikana mpaka akawa mchezea pesa... TUTAKUFUNGA... CK.. JPJM KUWA NAE SAMBAMBA ASICHOROPOKE!!! LAKINI NAMSIFU NI JEMBE HIVI YUKO KTK KUTAFUTA SEMA NDIYO CHIPUSI..

    ReplyDelete
  10. haya we ndiyo chipusi

    ReplyDelete
  11. Nyie vp. Kwani kuuza chips ni kufilisika?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana so kufilisika hii inaitea poteza Boya... Itabidi tumfatilie..huu Ni wakati JPJM Hachoropoki mpaka turishike nae la sivyo....

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad