Header Ads Widget


Nilimpeleka mama Ulaya kumtoa ushamba - Diamond

Amesema ameona kuwa mziki wa bongo fleva umekuwa mkubwa sana duniani kwani alijaza kumbi ambazo hata baadhi ya wanamuziki wa Marekani wakifika wanafanyia kule kwa sababu sio kila msanii wa marekani anaweza kujaza Arena hizo.

Msanii huyo amesema hii ni mara yake ya kwanza kusafiri na familia yake, kama mama yake hajawahi kwenda ulaya kabisa hivyo ameamua kumtoa ushamba.

"Miaka inaenda na tangia 'nimetoboa' sikuwahi kusafiri na mama yangu kwanza hakuwahi kwenda Europe au Ulaya alikuwa anaisikia tu kwenye bomba, inaweza kuwa kesho au kesho kutwa nikadondoka nikafa halafu mama yangu akabaki tena kuisikia nikaona ni bora kwenda kutoana ushamba kabisa"

Aidha msanii huyo amesema ataendelea na 'tour' yake ambapo atafanya 'show' 3 marekani, na pia 'show' nyingine zitafanyika India, Dar es Salaam , Mwanza, na Australia.

Diamond ameongeaza kuwa atakuwa na 'tour' rasmi kwa ajili ya Afrika na amesisitiza kuwa kuna nyimbo anasubiri zitoke maalum kwa ajili ya Afrika.

Post a Comment

27 Comments

  1. INGEKUWA MAKKA UNGEFANYA LA MAANA LAKINI ULAYA NAKUPA POLE WEWE NA MAMA AKO ASORUDI KWA MOLA WAKE.

    ReplyDelete
  2. inshallah kila jambo na wakati wake muda ukifika hata MAKKA NA MADINA atafika ni jambo la kumuomba MUNGU tu.

    ReplyDelete
  3. mama umri umeenda rudi kwa muumba wako na minywele ya bandia haikufai mama yetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMEJUAJE KAMUACHA MOLA WAKE????? ACHENI WIVU JAMANI!!!

      Delete
  4. kweli mdau Dai angetaka kumfurahisha mama na Mola wake angempeleka Makka akatubu madhambi yake, huyu bi Sanyura kazini na kila dume enzi za Odion na Cameo sinema tena kwenye viti. hata baba wa Esma na Dai hawajamuoa ni mwendo wa zinaaa tuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio. angalia kwanza usafi wako kwanza

      Delete
  5. yeye mwenyewe ni mtoto wa zinaa. vipi atakumbuka kumpeleka mama yake kutubu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. maneno ya viashiria vya wivu!!!!!!!!!

      Delete
  6. Kwa hiyo mtu asiende Ulaya kwa sababu hajaenda Makka, mawazo mengine ni mgando tu. Kwa hiyo mlitaka aende Makka akirudi ndio aende ulaya au?

    ReplyDelete
    Replies
    1. waaambie hao!! wanaoneka ni wivu mtupu umewajaaa.!!!!

      Delete
  7. toa funza kichwani, hiyo ulaya kapata nn zaidi ya kuona mwanae anabaka si bora angeenda makka atubu madhambi yake na amuombee na mwanae aache kuzini ovyo

    ReplyDelete
  8. Mtajiju wenye chuki na daimond na hata bado mtaongea sana

    ReplyDelete
  9. Huyo ni mama na pia ni hawara yake piaa kwa hiyo alisafir na vizee vyake viwili vinavyompa kiki na kumfanya aendelee kukaa kwenye game,...Yule mwinginee ni muuza unga na kampa mtoto fake na huyo mwinginee hirizi zote anabeba yeye na uchi anampa piaa...ampeleke macca kuhiji ndo nitamuona wa maana Sanaa na sivinginevyoo ulaya ya siku hizi ni Kama chooni kila mtu anaenda !!!kwa hilo BIGNo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani mama yako anapenda kuishi na dhiki zake huko kijijini?? Si utombe tu nanyi mkawe matajiri, kama utajiri unapatikana kirahisi hivyo!!

      Delete
    2. roho zinawauma tu hamna lolote!!!!wivu wenu tu.

      Delete
    3. kwa matusi uliyoandika hapo huko motoni yeye akichomwa wewe utakuwa kuni aisee sio kwa chuki na matusi hayo.kwa usafi gani ulonao,afu angalia unavotoka povu na unavorudi kunitukana afu ione jehanam yako.

      Delete
  10. Sasa hiyo Makkah aende kwa pesa ipi? ??ya music??..Vile vile nyie wadau hapo juu,huwezi kumshauri mwenzio kwa ushauri huwo wa Makkah,Tena ukachafua ushauri huwo kwa kumnadi mwenzio eti alikuwa Akizini. .Wewe unajuwa je nawe kuwa ni mtoto wa zinaa. .Wewe umekuwa Mungu?unajuwa lini umauti wako??utakuwa umetubu dhambi zako za matusi???na yeye mama Diamond unajuwa MWENYEZI Mungu Atamuongoa vipi kabla ya umauti?..MNA MANENO MACHAFU SANA ..KWANZA TUBIENI KWA MUNGU KABLA YA MAMA DAI.UWENDA DHAMBI ZAKE MTAZIVAA NYIE KWA KUMTUM
    SI VILE..KOMENI KUMDHALILISHA MAMA WA MWENZENU. .INSHA'ALLAH ATAFIKA MAKKAH SIKU MOJA KWA PESA YA HALALI

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe angalau umesema. ila pesa ya halali ni ipi??

      Delete
  11. Ni kweli msemayo wadau hapo juu, ila sasa makka hapelekwi mtu kwa force! Huyo mama yetu mwenyewe hajaelekeya dini kabisa, kwanza amrudiye mola wake nandio fikra za kwenda makka zitakuja. Tuombeane mwisho mwema in shaa Allah

    ReplyDelete
  12. Binaadam hatuna fikira hata kidogo tunaona ni ustaa wtt wetu kazini ovyo mahusiano ya kijinga tena tunaona fahar kutajwa kwenye media ila utakapomaliza pumzi utajua lipi lilikuwa bora kwako Allah atuzindue inshallah tusiwe wenye kughafilika amin

    ReplyDelete
    Replies
    1. nawe huku kwenye udaku unatafuta nini?? kama unamjua mola wako huku hakukufai.

      Delete
    2. Mwambie huyo wenye kuijua makka hawapo udaku sahizi wapo kwenye nyumba za ibada na misahafu mkononi sio wewe kidampa bora ukae kimya, kama kwenda ulaya rahisi nawewe SI umchukue Tu mvaa juba Wako uende acha wivu

      Delete
  13. JAMANI MWACHENI MTOTO WA WATU KUTWA KUMSEMA SEMA.HAMNA KAZI??

    ReplyDelete
  14. Hayo si ndiyo ya Gardener kumnadi binti ktk udaku kwa urembo... Hatima yake ndiyo Kama hii

    ReplyDelete
  15. mtu mzima ovyo na mawigi ya rahisi oops
    kioo huna bi mkubwa ?????????????????????????????

    ReplyDelete