KUTOKA BUNGENI: Hotuba ya Lema yazuiliwa kusomwa mpaka Kamati ya kanuni iipitie

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.

Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka kanuni za Bunge.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

  1. Kwa habari mbalimbali, breaking news, michezo , udaku na tetesi za usajili tafadhali bofya hiyo link hapo chini
    VIDEO&PICHA : MASHABIKI WACHOMA MOTO UWANJA BAADA YA TIMU KUSHUKA DARAJA | JIPE RAHA5 http://jiperaha5.blogspot.com/2016/05/video-mashabiki-wachoma-moto-uwanja.html?m=1#.VzmucDa4NBE.whatsapp

    ReplyDelete
  2. makubwa haya
    magufuli una KAZI
    KAMA MAJIPU UNAYO CCM WA KUKAYA
    AU NDO TULIA HUYU ULOMPA UBUNGE ?????????????????????????????

    ReplyDelete
  3. Tulikubaliana na kufanyakazi kwa kuzingatia utawala bora na kutii sheria za nchi, kama hutuba ya Lema inaonekana kuwa dalili za kuchafua hali ya hewa na isisomwa kwani haina kipya zaidi ya kupandikiza uhasama na chuki zisizo na msingi. Hata mimi nadhani hawa jamaa wameishiwa kisiasa na wanafanya kila linalowezekana kurejea lakini siyo rahisi kwani walisha haribu toka mwanzo na sasa wanaonekana watu wa ajabu wanavyojifaragua kutafuta pumzi zinazoelekea kukatika. Watulie wajipange upya, siasa za kimafia hazina nafasi kwa sasa wamechelewa na dawa yao ni kuwabana kwa kutumia kanuni na si nguvu watapata base ya kulalalmika maana ndiyo kazi waliobakia nayo. Ni mtazamo wangu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuwabana?bwege kweli wewe demokrasia ya wapi hiyo?

      Delete
    2. Kuwabana?bwege kweli wewe demokrasia ya wapi hiyo?

      Delete
  4. Hapa Hofu Tu !

    ReplyDelete
  5. WATANZANIA, sisi ni watu ambao tunathamini utu/ ni wakarimu / wasaidizi panapo hitajika / ni WaTU.. Utulivu na Amani na usafi ni Huluka yetu. Zaidi ya hayo Historia yetu inadhihirisha kuwa Mantiki na Uaminifu uliweza kutuletea Uhuru bila kumwaga Damu.. kintume na nchi nyingi barani na za jirani.. Bunge letu na Wabunge wetu wote wana majukumu ya kuhakikisha linachosemwa au kuchukuliwa uamuzi ni kwa manufaa ya nchi na watu wake (Tanzania) Sasa nidhamu na Maadili ni Vitu ambavyo hatuwezi kuangalia vinapotoshwa bila sisi kuingilia na kuchukua hatua ya kutengeneza na hii imedhihirika hivi karibuni paka waheshimiwa wana tuhumiana FAILI ZA MIREMBE / UTEJA / BANGE NA BEBI NA LAIVU NOT LAIVU.. BUNGE IN AKAMATI ZAKE MBALI MBALI NI WAJIBU WAO KUPITIA NA IKIBIDI IHAKIKISHE KINACHO TUFIKIA WANANCHI SI CHA UPOTOSHAJI KWA MALENGO YA SIASA.. KILICHO FANYIKA NI SAWA NA KITAENDELEA.. TUNATAKA KUIJENGA NCHI NA JPJM AMESHIKA HATAMU ZA HII AWAMU YETU YA TANO NIA NA LENGO NI KUTUTUMIKIA NA HATO TUANGUSHA.. SIASA NYING HATUZIPENDI. WACHENI NCHI IPATE MAENDELEO NA TUMSAIDIE JP SISI WANANCHI.. UPO MJOMBA LEMA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad