Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba
Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba
sio lazima ujianike mwisho wa siku ni zako mwenyewe kina rembukeni ni wengi maskini nakuonea huruma na munachukiza tunakuombea mungu akuzidishie
ReplyDeleteMUNGU NI MWEMA KAMA UNAFANYA KAZI KWA BIDII!! HONGERA DIAMOND!!!
ReplyDeleteBINADAMU HAWAKOSI CHA KUSEMA.
ReplyDelete