Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kesho,mjadala wa Bajeti utaanza. Naamini,wakosoaji ndiyo wafuatiliaji na wasomaji. Wasomaji wa nyaraka kwa haraka na baraka Bungeni ni Wabunge wa Upinzani. Ni Wabunge wa UKAWA. Wabunge wa CCM hupumbazwa na uchama na wingi wao.
Msipokuwepo kesho na kuendelea,Wabunge wa CCM hawataijadili Bajeti. Wataisifu;kuisifu Serikali; kumsifu Rais na Naibu Spika na kuiunga mkono bajeti kwa asilimia mia. Bajeti itakosa kuchambuliwa na kukosolewa. Bajeti ni moyo wa nchi. Isipowekwa sawa,wote tutaumia.
Tafadhalini,Wabunge wa UKAWA bakini Bungeni muifinyange bajeti ya nchi. Fanyeni hivyo kwa kulisaidia Taifa. Msijali yatakayosemwa kuhusu kubaki kwenu Bungeni!
Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Sal
LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com
uliandika hili huna akili kabisa
ReplyDeletehivi mbowe pale usoni alipigwa ngumi au nijuze mwandishi uliyeposti hiyo picha
ReplyDeleteHAPO NDIYO TUTAUJUA UZALENDO WAO NA MASILAHI YAO JUU YA TAIFA LETU. LAIVU NOT LAIVU!
ReplyDeleteMbowe na Lipumba wana vipara sasa ni wakati wa kung‘etuka mtoke kwenye madaraka muwape vijana,mawazo yenu ni ya kizamani,acheni kushkilia madaraka,na vipara vyenu.Mzee Msimbazy
ReplyDelete