Diamond na Zari Waweka Video yao Wakiwa Nusu Utupu Baada ya Kumaliza Mechi Sita Kwa Sita..Tazama Hapa

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Instagram inazidi kuwa sehemu ya mastaa kujitamba na mambo tofauti wanayofanya kwenye maisha yao kama vitu vya kifahari, mali zao na watoto wakali wanaotoka nai,

Tanzania best celebrity couple Diamond na Zari leo nao wameteka mtandao huo bongo kwa hii video.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cha ajabu nini
    Mbona wapo kawaida
    Umaarufu unatafutwa kila kona

    ReplyDelete
  2. upumbavu tuu. huu bi kizee bora angempeleka mtoto wake Domo shule. mambo hayo angefanya Wema yangepelekwa mpaka kwa Makonda.

    ReplyDelete
  3. nani asojua Mapenzi. hivi huu grammaa hajafundwa hata haya haoni? bi Sandra ebu mtafutie kungwi japo kwa cku moja, ni aibu ndo maana Almasi antia kama hana akili nzuri.

    ReplyDelete
  4. ningekuwa mm ndo Zarina nisinge kubali kufanyiwa hivi, unaaibishwa na Dai, ukiondoka mwenzio anachukua mwingine, unangòng´wa kisogo. leba inakusubiri mama huruma.

    ReplyDelete
  5. uchafu ndo wanaoujua. ingekuwa staa mwingine kafanya hivi yangeshafika kwa makonda ila Ajuza na mwanae ni sawa.

    ReplyDelete
  6. mwanamke mwenye thamani hawekewi hadharani mambo yao ya chumbani yanakuwa ni yao wawili wote hawana adabu na huyu grandmother ukae ukijua mwanaume anaekupenda na kukuheahimu hakuaniki hivo lakini na wewe bibi ongeza namba kama wenzako thamani bibi huna kwanza embu jiangalie mama zima unachezewa na kitoto kidogo unamzaa kwa kukimbia tafuta mwenye umri kama wako usikomaze mtoto wa mwenzako

    ReplyDelete
  7. mama na mwanae jamani hii si niabu kubwa bibi mzee hujafundwa kwenu mwanamke umekosa thamani ya kitandani leo hadharani Diamondi hakupendi kweli nakwambia ajuza we mwanume anakutoa thamani kiasi unaanikwa kama wale kina changu..... he makubwa haya watoto wako unawafunza nini aibu hio wewe sio wakukaribshwa kwenye family

    ReplyDelete
  8. mmmm acheni ipe roho kitu inataka bana!!!

    ReplyDelete
  9. Hadi kero labda awajitambu

    ReplyDelete
  10. Huu ni ushamba ulioje,mtatuaharibia watoto wajinga nyie,wap TCRA?

    ReplyDelete
  11. kweli umaarufu raha,diamond ana sura mbaya lakini anawakaza visu vikali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad