Kufuatia Tetesi za Kuwepo kwa Mgogoro wa Kifamilia, Zari na Diamond Watuma Ujumbe Huu

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma.


Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, ilimradi tu wanapendana na mpenzi wake.

Tetesi nyingine ni kuwa staa huyo wa ‘Utanipenda’ si mwaminifu kwenye uhusiano wao na kwamba huenda akawa na ukaribu usio wa kawaida na Hamisa Mobetto.

Yote hayo yanaonesha kuwa si kitu kwenye couple hii na wameamua kuonesha kuwa wapo strong kupitia Instagram. Wamepost picha na video kadhaa wakiwa na mtoto wao Tiffah kuashiria kuwa mambo ni shwari.

“Sending love from the other side from me and mines. Have a blessed week,” ameandika Zari kwenye post moja wapo.

Naye Diamond akiwa na familia yake hiyo ameandika, “Aint nothing better than spending time with the people that you love from the bottom of your heart……hata ukiwa kijuso, ukiwa nao kasura kanakuwaga kama kanapata Uhendisamu kwa mbaaaali kwa furaha. Tazama Video:
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wenye wivu wajinyonge!!!!

    ReplyDelete

  2. Wewe Domo
    Ushauri wa bure wewe ni kioo cha jamiii
    Unaheshimika kimataifa
    Sasa inahusu nini kutoa ya mipicha hii
    Watu wanakupenda kwa sauti na nyimbo zako lakini si kwa viloja vyako
    Ingekuwa enzi ya mwl hata madawati yako angeyakataa
    Kwavituko hivi hata upate medali 100000
    Ikulu huitwi ngooooooooo
    Jirekebishe
    Hata majirani huko madale wanalalamika
    kwa vioja vyako

    ReplyDelete
  3. Hahahaa maigizooo tuuu hayoooo !!! Hakuna loloteee !!?tunataka tiffah DNA plzzzz...Mama Diamond kaisha mshtukiaaa...Mtoto ni Bomu la Nyukliaa!!

    ReplyDelete
  4. WIVU WA NINI??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad