Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Ni wakati wao wa kufanya mikakati ya kiakili kushika dola.
Kwa nchi za kiafrika kushika dola kwa maandamano ni kujisumbua bure, cha zaidi mtaishiwa kuuwawa na kuteswa tu
Niwakati wa Ukawa kuwa na timu ya strategy isiyozidi kumi, timu yenye kuaminiana kuhakikisha na wao wanafanya siasa ya kiutu uzima.
Nadhani wakubwa waliopevuka wamenielewaa
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA
Africa Hakuna demokrasia
ReplyDeleteImebidi tu tukubali vyama vingi ili tupate missada ya inchi magharibi