Web

Wema Sepetu Amkataa Idriss Sultan Mchana Kweupeee Pee!

Top Post Ad

Wema amkataa Idriss Mchana kweupeee pee!!!!!
Ashasema hataki kuwa nae sasa nyie endeleeni kupost ohh shem shem sijui kamuoa dada yenu au???? Watabaki kuwa marafiki kama zamani tuuuu...wema so wamchezo mchezooo...
unalakusema hapo mdau ???Habari ndo hiyooo... Tukutane katika uwanja wa comments. ..

Soma Alichoandika Mtandaoni:


Below Post Ad

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. waongo hawa kuna kitu kinawafanya wadanganye wameachana. mm nishawastukia.

    ReplyDelete
  2. janja yao Wema kanasa ndo maana anaficha na kutangaza wameachana.

    ReplyDelete