Mrembo Amber Lulu Adaiwa Kukamatwa na Madawa ya Kulevya..Marafiki zake Wamkana Live

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mwanadada mrembo ambae amejipatia umaarufu mkubwa siku za karibuni kwa kutokea katika videos kadhaa za Bongo Fleva Amber Lulu inasemekana kwamba yuko chini ya usimamizi wa polisi kwa siku ya pili sasa.

Sababu ya kuwa chini ya Ulinzi inasemekana kuwa amekamatwa na Sembe (Madawa ya kulevya) huko Airport mkoani Arusha akijiandaa kuyasafirisha hadi nchini China.Gossip Cop Soudy brown alizinyaka taarifa hizo na akaona haitakuwa mbaya kama atapiga story na watu wa karibu wa mwanadada Amber Lulu ili kupata ukweli juu ya suala hilo.Ndipo alipomvutia waya Gigy Money. Mapovu yaliyomtoka mwanadada Gigy sio ya polepole, na kudai kuwa kimbelembele cha mwanadada Amber Lulu ndio kimemfanya kupata matatizo.

Soudy Brown hakuishia kwa Gigy tu, alimvutia waya na rapper Young Deeambaye kwa mujibu wa Gigy Money inasemekana kuwa ndiye boyfriend wa mwanadada Amber Lulu. Na Young Dee alikana kabisa kumjua mrembo huyo na akadai kuwa hajui chochote kinachoendelea kuhusiana na msichana huyo.

Ubuyu wote nimeukusanya hapa chini kwenye hii video unaweza kuitazama.

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Saaaaafiiii sana, hiyo aibu anayotitia Watanzania akaifanyie huko jela.

    ReplyDelete
  2. Manina zake!kupenda vya kutajirisha kirahisi.

    ReplyDelete
  3. LILA NA FILA HAZITANGAMANI

    ReplyDelete
  4. huyu demu si kusafirisha unga tu, yeye mwenyewe atakuwa ni mtumiaji wa hayo madawa ya kulevya sababu ona hiyo picha alivyojianika hapo juu na kuacha maziwa wazi sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya uchafu namna hiyo, kwanza hata hajali kama ndugu wakiona hizo picha wataona aibu maana hata marafiki wa ndugu wataziona hizo picha na kuwaambia tumemuona ndugu yenu katika mitandao akiwa uchi, najua wanawake wengi bongo wanaiga mavazi kutoka majuu lakini kibaya wanaiga mpaka wanapitiliza, mimi mwenyewe naish Ulaya hapa sijawahi hata sikumoja kuona demu amevaa nusu uchi namna hiyo mpaka kuonyesha maziwa nje, Du Amber Lulu kama unataka kujiabisha namna hiyo jiabishe mwenyewe lakini unawaabisha mpaka ndugu, na hayo madawa ya kulevya uliyokamatwa nayo pia ni aibu kwa ndugu tena safari hii umewaaibisha ndugu zako vibaya mno na ndiyo maana hata marafiki zako wanakukana, tena una bahati umekamatwa ukiwa bado hujaenda China kama ungekamatwa China wangekunyonga

    ReplyDelete
  5. maziwa yenyewe mabaya mpaka yanatia kinyaa halafu wewe unayaanika yaani kinyaa na kichefu chefu

    ReplyDelete
  6. eti huweki picha za utupu ili utamaniwe sasa unamuwekea nani, kama sio matangazo ya kujiuza, kama huweki hizo picha ili utamaniwe si ungeziweka chumbani kwako sio hapa, kwani ukijiuza utasema?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad