Saida Karoli " Nilitumiwa, Ukiona Ninapoishi Utasikitika

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani
ni nyoka anayetaka kumng’ata

Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki
miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na
bado anaishi katika mazingira magumu.
“Niliumizwa kuanzia mwanzo, ni vitu vichache
nilivyovipata, kama mkibahatika waandishi wa
habari wenye makamera na wakija kwangu
watashuti kulingana na nilivyo, wataona
mazingira ninayoishi ndipo watanzania watazidi
kufunguka zaidi,” Saida alimwambia mtangazaji
wa Jembe FM, Natty E.
Kwa sasa Saida Karoli anaishi jijini Mwanza. Hivi
karibuni amerejea tena kwenye midomo ya watu
baada ya Diamond kurudia wimbo wake Salome.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Saida naomba email ua simu yako kupitia ukurasa huu,ninataka kuongea na wewe ( Mambo muhimu, sina niambaya.)
    Asnte.
    JB USA.

    ReplyDelete
  2. Huyo mzee Mutaa sijui nini na cloud hawana maana kabisa they will pay the consequences like Saida suffering now! na bado tu wanaendelea kuumiza wasanii wengine kwa maslahi yao binafsi lo!! inabidi serikali iwachukulie hatua kali za kisheria watu kama hao, ili kuwanusuru watu kama kina saida kalori, na pia wamlipe pesa ambazo zitaweza kumkwamua katika maisha yake. Wakati ule watu walipiga kelele sana kuhusu suala la huyu dada! ila hao jamaa wakaendelea kushupaza shingo na mwisho kumpoteza kabisa saida kwenye ramani ya muziki! Saida siyo msanii bali mwana muziki ambaye she born to be a musician (singer). period

    ReplyDelete
  3. Inawezekana ikawa sawa au isiwe sawa, wakati mwingine mali zako zitategemea jinsi unavyothibiti matumizi yako. Siyo kulaumu tu wasanii mjifunze kuweka akiba.

    ReplyDelete
  4. Saida ulikua na rangi nzuri sana kwa nini umetumia mkorogo pole yako....

    ReplyDelete
  5. wewe mdau hapo juu katika wasanii wote wanaojichubua umemuona Saida tu? Saida usiwasikilize hao wewe fanya kama moyo wako unavyopenda sio kama wao wanavyopenda

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad